Recent content by Melubo Letema

  1. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Ndaweka awekwa pembeni RT Ubadhirifu wa fedha Dola 55,000 za kimarekani

    Makamu wa rais RT asimamishwa uongozi mara moja kupisha uchunguzi wa ubadhifu wa fedha za shirikisho hilo. Dola elfu 55 (55,000) za kimarekani. Jamaa amekula zaidi milioni 130 zilizotumwa na shirikisho la riadha la dunia (WA).
  2. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Rogath John Stephen Akhwari Rais Mpya RT

    Kocha Rogath John Stephen Akhwari Ashinda urais wa shirikisho la riadha Tanzania -RT kwa kura 27 na kumbwaga mpinzani wake Nsolo Malongo Mlozi aliyepata kura 20. Mpinzani wake baada ya kushindwa aliandika hivi kwenye mitandao ya kijamii " Kura hazikutosha kushinda, nimeshika nafasi ya 2 (kura...
  3. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Kesho uchaguzi rasmi wa RT Mwanza

    Shirikisho la riadha Tanzania -RT kesho linatarajia kufanya uchaguzi wao mkuu wa viongozi mbalimbali, ikiwemo rais na makamu wake; nafasi ya uwakilishi wanawake na nafasi ya ujumbe kwenye kamati ya utendaji. Nafasi ya katibu hakuna kwenya uchaguzi huu , bali itakuwa ni ya kuajiriwa; watu...
  4. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Duniani kote vilabu vya soka havijihusishi na siasa. Inakuwaje Yanga wajihusishe na CCM moja kwa moja? Sisi ambao sio wana CCM tuhame timu?

    GSM ni ruksa kujihusisha na siasa ila sio yanga, huo ni uzwazwa
  5. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa John Stephen Akhwari ajitosa urais RT

    Mtoto wa mzalendo wa mchezo wa riadha mzee John Stephen Akhwari aitwaye Rogath John Stephen ajitosa kuwania urais wa shirikisho la riadha Taifa (RT), ni kocha wa riadha wa jeshi la polisi kwa mkoa wa Arusha. Mzee John stephen akhwari ni nani? ni yule mzalendo wa Tanzania aliyekimbia mbio za...
  6. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Mnaotaka U Rais shirikisho la Riadha Tanzania, Uchaguzi ni Agosti 16 2025.

    Ubadhirifu wa fedha za wahisani
  7. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Mnaotaka U Rais shirikisho la Riadha Tanzania, Uchaguzi ni Agosti 16 2025.

    Hakuna uchaguzi huko uchunguzi unaendelea
  8. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Mnaotaka U Rais shirikisho la Riadha Tanzania, Uchaguzi ni Agosti 16 2025.

    Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi wa shirikisho la riadha Tanzania ~RT Bw. Leornard Thadeo ametangaza uchaguzi wa rais na wajumbe kufanyika tarehe 16:08:2025 katika hoteli ya Aden Palace, Jijini Mwanza. Aidha ametaja nafasi zinazogombewa ni rais wa shirikisho Nafasi (1) , makamu wa rais wa...
  9. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Maadhimisho Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari: Matukio katika picha ya washiriki mbalimbali wa mbio (Fun Run)

    Mbio za kilomita 5 za maadhimisho ya siku ya vyombo habari Duniani zafanyika leo jijini Arusha, katika viwanja vya Ghymkana/ Mgambo. Mbio hizo zilianzia kwenye uwanja wa Ghymkana /Mgambo na kumalizikia hapo hapo Ghymkhana; ambapo zilihudhuriwa na wanahabari mbalimbali , wadau wa habari na...
  10. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Simbu aibuka na Medali ya Fedha Boston Marathon, Marekani

    Alphonce Felix Simbu ni mwanariadha wa kimataifa kutoka Tanzania, amechukua medali ya fedha kwa kushika nafasi ya pili kwa muda wa saa mbili, dakika tano na sekunde nne ( 2:05:04) kwenye mashindano makubwa ya Boston Marathon huko Marekani Leo, huku nafasi ya kwanza akichukua mkenya John Korir...
  11. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania TANZIA Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88

    Apumzike sehemu sahihi
  12. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Simbu kutimua vumbi na Wakenya na Waethopia Boston Marathon 2025 kesho

    baada ya simba kushinda moja ziro, sasa macho na masikio ni kwenye mbio za 127 za boston marathon 42K huko marekani kesho tarehe 21 aprili 2025. Simbu ni mwanariadha wa kimataifa mwenye sifa ya kutokata tamaa, mzalendo , nidhamu na hari na mchezo wake; hivyo matumaini ni makubwa ya kushinda...
  13. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Simbu kupeperesha bendera ya Tanzania Boston Marathon, Marekani

    Mwanariadha wa Tanzania Alphonce Felix Simbu anatarajia kutuwakilisha kwenye mashindano makubwa ya 'bostonmarathon' huko Marekani, tarehe 21 Aprili Mwaka Huu, akiwa na muda wake bora wa 2:04:38, huko anakwenda kupambana na miamba mingine kutoka Kenya na Ethiopia kwenye mchezo wa Riadha Duniani.
  14. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kiuhalisia hatukumuelewa Hayati Magufuli, kwa sasa hakuna namna tumuelewe Tundu lissu . Wakati wa ukombozi ni sasa

    No Reform, No Elections ...huo ni uzwauzwa. Hakuna raia anayeweza kuzuia uchaguzi
Back
Top Bottom