Sehemu ya msingi Wa kanisa ni maadili. Hakupaswa kuwasaliti maaskofu wenzake. Sisi kama waumini tuna umia pake kanisa linapo vulugwa. Askofu Malasusa ili kupunguza maneno mengi kutoka kwa watu wa Mungu malizana na maaskofu wenzako. Na pengine tusijue jambo hili lilivyo isha. Asante sana damu ya...
Hali ya usafiri kwa barabara kuu ya Morogoro yaani kuelekea Saranga kuanzia TEMBON nyakati za jioni au wakati wa mvua,ni shida na usumbufu mkubwa sana. Usafiri mkuu kwa kipande hiki cha km nne hivi ni NOA na bajaji.
Na nauli kwa baraka za usalama barabarani kwa kushirikiana na serikali ya mtaa...
Tuna husika na ujenzi wa chuma,hivyo kwa yeyote mwenye kuhitaji fundi mwenye utaalamu na uzoefu na ujuzi tutafute tukujengee (steelfixer) kwa RAMAN yoyote na popote nchini Tanzania. Piga namba 0655264625
Ni Aman tu,, hakuna sehemu ya tamko linalo mkashifu rais Magufuli, ila wapumbavu wanaleta lugha isiyo faa kwa Watanzania, tumpinge na tumkatae. Hii ni Pasaka. Hongera msemaji wa serikali.
Hiace idadi ya abiria ni 16.18 wametoka wapi? Mbona hatuwi wepesi kujielewa, je ktk hila polisi nao walaumiwe? Abiria kwa macho yako unaweza kujiongeza, ni hatari sana. Polisi msilaumiwe ktk hili. Ni uzembe wa dereva wote wawili. Mungu tusaidie ili macho yetu yatiwe nuru
Mungu mwenyewe ndiye anahusika na maisha ya kila kiumbe. Maaskofu Mungu awabariki sana sana. Ni ujumbe mzuri sana kila mmoja ameupenda. Kwa moyo mmoja kama Taifa na serikali kwa ujumla wake wameupokea na kwa hekima iliyojaa katika ujumbe huu kila mmoja atainuka bila kujali itikadi za kisiasa au...
Kiongozi yeyote wa dini mwenye hadhi ya uchungaji ama mapadri, kiongozi wa serikali uwe makini kwa matamko yao. Ni viongozi wenye macho makali ama kuona mbali kuliko wanasiasa. Mkapa juzi ametoa maoni yake kama raia, huko Moshi MCh ametoa hoja zake halafu anaitwa kuhojiwa, badala ya serikali...
Ni mtakatifu wa Mungu ni binadamu kama wengine lakini yeye ana kibali maalum toka kwa Mungu Hakuna wa kutengua ya Mungu mwenyewe kwa damu ya Yesu Kristo.
Uchumi wa viwanda na kujitegemea kama nchi huenda tusifanikiwe na shetani wetu ni Tanesco. Shirika hili ni mali yetu lakini katika hili la kukatika umeme picha si nzuri kwa uchumi wa nchi yetu. Muda unasonga uchaguzi mkuu kufanyika, ajenda ya uchumi wa viwanda itakuwa wapi? Msimu huu wa mvua...
Tanzania nchi yangu. Mungu atusaidie ili nia ya dhati katika uzalendo uwepo. Na kuna uwezekano mkubwa kuwa uongozi wa mwl Nyerere malengo yake haijatimia inavyotakiwa. Rais wetu anaka hiyo nia lakini wachache bado wapo wana mzunguka, na huenda asifanikiwe kwa hao wachache. Mkumbuke anae leta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.