Technically ukifuta matokeo ya uchaguzi Zanzibar ina maana umefuta na kura za raisi wa muungano. Kwa maana hiyo hata uchaguzi na matokeo bara ni batili.
Kwa kawaida au most of the time, mgombea ambaye anaonekana kushindwa ndo huwa anaomba midahalo, ili kuwabadilisha mawazo wapiga kura waliokwisha fanya maamuzi au undecided ambao bado hawajaamua. Sasa inakuwaje ccm wanadai watashinda kwa 65-69% ndio wanataka mdahalo? Hii haingii akilini kabisa...
Ngoja nichukue nafasi hii kuuliza au kusema yafuatayo; JM anadai ccm itashinda kwa 67.3% kulingana na tathmini zilizofanywa na independent entity waliyoiomba au kuitafuta wao kuja kufanya hiyo tathmini, maswali ni haya;- kwanza private au independent entity haiombwi au kuletwa kufanya utafiti...
Swahili:
Kinana mbona kasahau kusema kuwa yeye ndo kampeni meneja wa mgombea wa ccm? Kwanini watu wamuamini kwenye hii habari? Kulikoni? NA kwanini hii habari aitoe sasa? Alikuwa wapi siku zote. Wamarekani sio wajinga kiasi hicho kuunngana na upande wowote ktk chaguzi za nchi nyingine. Swali...
Kinana forget to mention that his now serving as campaign manager for ccm candidate ( magufuli) why should people trust him with this article?
American are not foolish as such to take sides into a foreign election. The main question remain to be asked is why now? Why involve Lowassa? Given the...
Matusi ya nini sasa? Be civilized. Jibu hoja sio matusi kwani inaonyesha jinsi gani ulivyoathirika na ukosefu wa elimu ya msingi kabisa. Nashauri watu kama hawa ni kupiga ban ktk forum.
Kila nchi inataratibu zake za kutengeneza sheria za nchi, ni muhimu sana kutofautisha haya matamko ya polisi na sheria za nchi Kama zilivyo kwenye katiba ya nchi au sheria za miji. Ili tamko liwe sheria, ni lazima lipite ktk mlolongo wa hatua fulanifulani. Kwanza, iwe BIll au pendekezo yaani...
You're such a dumb dude I never heard before! Mdahalo ni njia mojawapo ya kufikia wapiga kura wengi bure bila kulipia muda ktk television, kwa kunadi sera na kujitofautisha na wagombea wengine. Wewe kwa akili yako finyu unaona sio level yake? What level is Lowasa? Make watanzania hatuchaguI...
Sijuhi Kama sheria za uchaguzi zinaruhusu watu wa taifa lingine kuingilia siasa za ndani ya nchi yetu hasa ktk kipindi cha uchaguzi. Wadau hii imekaaje?
Nakubaliana na wewe, ukiangalia historia ya dunia ni kwamba
watu hufanya mabadiliko ktk maisha na mazingira wanayoishi kuangalia the past! Yaani kwa kimombo wanasema"The past predict the Future " Ktk historia ya Tanzania, ujamaa ni the Past ambayo ilifeli kuwakomboa wananchi Kiuchumi, elimu...
This is one of the thoughtful speech given with any of the Tanzania opposition party leader,perhaps one of the best speech given with any of our modern leaders from Tanzania. It's well drafted and brilliantly delivered. I don't want to sound bias given the politics atmosphere in the country...
UJAMAA FAILED.....ninakubaliana NA wewe hapo juu brother, Ndio maana Tanzania iko hapa tulipo. Ni jambo la kutoamini kama mtu bado anakuja ktk 21st century kuhubiri siasa ya ujamaa iliyofeli, sio hapa kwetu tu bali hata na nchi zingine zilizojaribu kuifuata. Where is Cuba? where is socialists...
Hii ndo habari ya Nigeria kutoka ktk magazeti ya IRISH TIMES..........
Nigerian elections: Buhari takes the leadResults in from over half of Nigerias states show contender leading by 2 million votes
With results in from just over half of Nigerias 36 states plus the capital, the challenger, a...
11.2 MAPENDEKEZO YETU:
Sheria iweke wazi kuwa mahakama ya kadhi itagharimiwa na Serikali sawa na zinavyogharimiwa mahakama
Kwa akili ya mtanzania wa kawaida ni jambo la kushangaza sana krona tumefikia hapa. Ni masikitiko yangu makubwa kuona serikali ambayo imewekwa madarakani na watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.