Recent content by Melkiard Junior

  1. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota starlet

    kamabado ipo 3M ipo chap hapa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari mbalimbali mazuri yanayouzwa leo

    uzi mtamu huu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    ina shida gani hii?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kueleweshwa usawa kati ya postgraduate na degree

    usisahau unaweza kuwa Degree mbili ila/lakini usiwe na Masters, na unaweza ukawa na Degree tatu lakini usiwe na PhD
  5. M

    JamiiForums Tanzania Maswali na Majibu: Uzi maalumu kwa ajili ya wanafunzi wa Open University Tanzania (OUT)

    Kuna matu anataka kujiunga diploma hapo Open, vipi application zinaanza lini>
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, TCU wameshafunga Transfer window?

    yeye jamaa yangu kakubaliwa na chuo na anasomakbs ila hawajampa namba ya usajili bado wanasema wanasubiri approval ya TCU,
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je, TCU wameshafunga Transfer window?

    Aisee ndugu yangu chuoni alikoomba kuhamia hadi leo asubuhi wamemjibu kuwahawajapata bado majibu ya approval kutoka TCU, so bado ni kizungumkuti tu hadi sasa, hajui itakuaje na hata hajapewa namba ya usajili anaambiwa hadi approval kutoka TCU itolewe!!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je, TCU wameshafunga Transfer window?

    Kuna yeyote jamani ameshapata majibu kuhusiana transfer zilizoruhusiwa na TCU? maana Calendar ya TCU inaonyesha majibu yalikuwa yatolewe December 7 na leo ni December 12 kimya kbs
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    hapana ni 1,175,000
  10. M

    JamiiForums Tanzania Degree ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania inachukuliwa kwa muda gani?

    Pole ndugu kwa fikra potofu ambayo wengi mnayo, hata mimi nlkua na fikra kama wewe, na bht nzuri nimesoma mfumo tuliuozeawa kukaa campus chuoni, lkn then sasa nmekuja kugundua kile nlichokua nakipata kule tulikozoea na OUT ni sawa tu,na umahiri wa graduate hauko determined na Chuo, ila na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je, ubora wa shahada za ICT kutoka Chuo Kikuu Hurua Nchini (Open University of Tanzania) upoje?

    prac na lectures utaenda kwenye well equipped nearby regional center
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je, ubora wa shahada za ICT kutoka Chuo Kikuu Hurua Nchini (Open University of Tanzania) upoje?

    Mleta mada kama uko serious kweli nenda tu kasome OUT, pale ni kuku wa kienyeji, lazima ukomae upige msuli, hakuna kulishwa kama huku tunakokaa venue kupigwa lectures. lakini pia kuna mtu kasema unaweza fanya ICT kwenye center yoyote ya OUT, ni kweli nmefuatilia unakua registered ktk any center...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Examination Regulations UDOM

    Wanabodi naombamwenye kuweza kunisaidia Examinations Regulatuons/Rules/By Laws za UDOM. Akhsante
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusiana na transfer window

    King snr, Admission letter ni ya lazima kuonyesha kuwa ulikuwa selected Chuo kingine, lakini utaambatanisha na copies za vyeti vyako pia.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusiana na transfer window

    Hongera sana kwa kuchaguliwa ,lakini pole sana kwa kukosa mkopo. 1. Katika changamoto zako sijui huko IRDP hawana hostels hadi uone changamoto kwako kusoma hapo? Kama wanazo inakuaje iwe changamoto kwako? 2. Kwa uzoefu wangu mdogo kwa first year ambae hata hajaanza masomo kufanya transfer wala...
Back
Top Bottom