Recent content by Meljons

  1. Meljons

    JamiiForums Tanzania Mashujaa 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Lake Tanganyika | 1 November, 2024

    Mipango imetimia
  2. Meljons

    JamiiForums Tanzania Je ni tabia ipi unayo ambayo unapenda iigwe na jamii?

    Punctuality na kutokufuatilia maisha ya watu
  3. Meljons

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwamposa: Watu wangu nenda mjiandikishe mkapigie kura CCM

    Wala hana kosa bali ametoa ushawishi, na ni uamuzi wao kwenye sanduku la kura bado itabaki siri yao.
  4. Meljons

    JamiiForums Tanzania Ni eneo gani au sehemu gani naweza kuwekeza Tsh. milioni 1 nikapata 5,000 kwa siku?

    Nakupa mwezi mmoja hiyo inakufa...mtalizwa
  5. Meljons

    JamiiForums Tanzania Hivi mnawezaje kuishi Dodoma?

    Kampeni ya kuotesha miti dodoma ni muhimu sana
  6. Meljons

    JamiiForums Tanzania Magumu ninayoyapitia sasa katika maisha yangu sijui mwisho wake itakuaje

    Samahani una ulemavu wowote kwa sasa?
  7. Meljons

    JamiiForums Tanzania Moshi: Amuua mama yake wakigombea mali za marehemu baba yake

    Kuna watu wengine wanakosa uzao/watoto wanajilaumu sana, kumbe Mungu anawaepusha mabazazi kama haya yakuwanyanyasa baadae
  8. Meljons

    JamiiForums Tanzania TANZIA Buriani Dr. Gilbert Sanga a.k.a Gill Biz

    Ee Mungu tupe mwisho mwema
  9. Meljons

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepigwa na kitu kizito, mwanamke ninaetaka kumuoa nimebaini hajatulia

    Aliyekutumia hiyo video lazima kuna jambo lunamuumiza labda kwa kumkosa huyo binti au whatever.. sidhani kama ana nia njema kwako..au unadhani anakupenda sana haki akupe taarifa?
  10. Meljons

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumfanya mkeo afike mshindo wakati tendo la ndoa

    Wanaliwa na nyie nyie wanaume sio ng,ombe
  11. Meljons

    JamiiForums Tanzania KERO;PESA kuchelewa kusoma UTT AMIS

    Mtoa mada nakuunga mkono. Niliweka hela ijumaa, imesoma leo j4. Inatuweka roho juu pengine hela imepotea
  12. Meljons

    JamiiForums Tanzania Ila UTT AMISS ni bonge la mchongo

    Asantee. Mimi nimejiunga last week, liquid fund. Nimeanza na 1M. Ngoja nipambane nione pengine ni bora kuliko vicoba ambavyo sometime hela inapotea
  13. Meljons

    JamiiForums Tanzania Walinzi Arusha wafunga mageti na kuondoka kwenye hospitali kubwa Seliani, wanadai milioni 42

    Mungu tusaidie kkkt waumini tunakata tamaa. Msituletee ya corridor spring maana nitahamia kwa Mwamposa sasa
  14. Meljons

    JamiiForums Tanzania Je, kuna madhara gani kwa mtoto ambaye mama alijaribu kutoa mimba na misoprostol lakini haikutoka?

    Hata kama ni yeye huna haja kufukunyua lengo hapa ni kumpa ushauri kama unao. Hakuna aliyemkamilifu mbele za Mungu, wote tuna dhambi. Ni wangapi umewapa mimba ukijua au bila kujua wakatoa? Acheni kumtupia mawe kama huna cha kumsaidia ni bora ukae kimya. Maana kitendo cha kuandika hapa tena kwa...
  15. Meljons

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Insider ameendekeza sana wanawake, na amemsahau mke wake kwa 85%. Kitendo cha kutoka Ethiopia na kwenda tena kwa Ghati ni wazi hujali tena uwepo wa mke wako. Na sio lazima kila mwanamke umfunue..dah, kama wanaume wote wapo hivi ni balaa..na mbaya zaidi hawazi magonjwa wala mimba.
Back
Top Bottom