Recent content by melimeli maganga pau

  1. M

    SWALI: Kipi alichokifanya LEMA kama Waziri Kivuli wa Mambo ya ndani??

    ccm chaliiiiiiiiiiiii arusha kiboko yenu lema nyie hata jana kipindi anakwenda kusoma bajeti ya upande wa kambi rasmi ya upinzani bungeni matumbo yalikuwa yanawauma kwani lema hua hapindishi maneno,ongera lema kamanda wa ukweli maccm yanalala yanakuwaza,
  2. M

    Bw.Tundu Lisu, Ndugu zetu wanauawa... Watetee!

    kwani haya ambayo tundu lissu anayatetea inamaana hayawahusu albino kwani wao wanaishi nchi gani?na raia wa nchi gani kama sio taifa ili la tanganyika embu leteni hoja nyingine,taifa ili bado linaongozwa na mkoloni mweupe ccm angalieni india chama tawala chali mbaya kwa hiyo na ccm kiama chenu...
  3. M

    Nachukua nafasi hii kuwapongeza wanawake wa Tanzania kwa kuipa kisogo CHADEMA, chama cha kizandiki

    hacha unafiki wewe sasa kwa taarifa yako mama yako yuko chadema
  4. M

    Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    mleta mada acha ujinga yaani umekaa muda wote kuandika treat hii ya kipumbavu ,nenda ukawe katibu wake wa chama,chadema haikujengwa na zzk bali imejengwa na wanachama wenye dhamira ya kweli,hacha kushabikia ujinga ww
  5. M

    Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    mleta mada acha ujinga ww unachokoza mada ili uweze kuandika upumbavu kumbuka kwamba chadenma ni taasisi, mtei kuonghea hivyo sio kwa sababu yy ni muasisi bali yy ni mshauri,ni kweli zzk hatakiwi ndani ya chama
  6. M

    Kigoma Yazizima kumlaki Dr Slaa

    mapovu yanawatoka maccm si mumchukue huyo zito mbona kinawauma sana utafikili mnauchungu wa kujifungua.
  7. M

    Kigoma Yazizima kumlaki Dr Slaa

    maccm hacheni ujingha nyie kila kitu cha chadema mnabeza mmeshaambiwa chadema ni mpango wa mungu.
  8. M

    Dr Slaa atingisha Kigoma Kaskazini

    hacha unafiki ndugu,kwani mwanaume hapendezi kuwa mbea.
  9. M

    baada ya zito na kitila kutimuliwa uongozi ccm wa umekuwa wimbo,mbona yenu yanawashinda?

    kamati kuu ya chadema taifa baada ya kufanya maamuzi magumu ya kumvua uongozi zito ndani ya chama pamoja kitila ccm wao wamejigeuza chadema na kuandika mambo ya udaku ndani ya mitandao,mbona yenu mmeshindwa? Sera ya kujivua gamba mmeshindwa kuitekeleza,wenzenu wakifanya maamuzi magumu mnasema...
  10. M

    kuchoka na kufilisika kifra kwa chama cha mapinduzi

    Tumeshuudia chama cha mapinduzi kimeishiwa fikra ndio maana kinashindwa kutoa uso wake kwa wananchi matokeo yake kauli za viongozi wengi wa ccm zinapingana na mwenyekiti wao mfano swala la katiba,na jana mwenyekiti wao kawapasha ukweli juu ya chama chao uko dodoma.
  11. M

    Jakaya Kikwete: Kama hali ya CCM itaendelea hivi basi kina muda mfupi sana wa kuendelea kutawala

    kikwete amewaambia ccm kwamba wao wanasubili kampeni bila ya kuongea na wanachama wao wamekalia wembe ni uleule ushindi,angalieni utawakata wenyewe.
  12. M

    Tanzia: Kada wa CHADEMA ndugu Privatus Mahabusi afariki dunia

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo kata ya Usa river kimepata msiba baada aliyekuwa mjumbe mkutano mkuu wilaya Meru CHADEMA kutoka kata ya Usa river ndugu Privatus Mahabusi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Seliani baada ya kutapika damu ghafla. Chanzo: Mwenyekiti...
  13. M

    Stat tv:muwe mnaangalia watu wenye uwezo wa kuchambua mambo na si Farijala kwani ni janga la ccm.

    Nimekuwa nikifuatilia kipindi cha tuongee asubuhi, mada isemayo, mchakato wa amani nchi za SADC.sasa Farijala anashindwa kujikita kwenye mada matokeo yake analeta ukada wa chama cha magamba na kusifia polis kwa kazi wanazofanya huu ni ukosefu wa kutojitambua kwani farijala anazidi kueneza chuki...
Back
Top Bottom