Recent content by MELEKAHE

  1. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Pumzika kwa amani Kelvin Lameck, mwandishi wa Baraka FM - Mbeya aliyeuawa akiwa kazini

    Tunaambiwa waandamanaji walikuwa wakenya
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mfanyabiashara wa Kariakoo, Sherry afariki dunia kwa kupigwa Risasi na Polisi

    Huyu nae alikuwa anaandamana?
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Tazama uchafu wa askari walivyopiga risasi kwa wananchi waliosimama tu barabarani

    Halafu wanasingizia ni askari wa uganda.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hili la kuingiza wageni kuja kutuua kamwe halitosameheka

    Hakuna mgeni yeyote aliekuja kuua watu.. ni propaganda tu ili wasionekane wao ndio wauaji.. maana tunaishi nao mitaani. Hivyo wametengeneza mbinu ya kujisafisha kusingizia wageni
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Sharif Majini afariki dunia kwa kupigwa risasi siku ya uchaguzi

    Kama kweli ni kada wa chama cha wauaji.. alale salama
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, rais mteule Samia Hassan akishaapishwa amejipanga vipi kuongea na mabalozi wa nchi za magharibi ambao aliwakatia mawasiliano Jumatano iliyopita?

    Sizani kama Tanzania tuna ujanja wa kuwazimia internet mabalozi wa nchi ambazo zimeitengeneza hiyo internet yenyewe. Sisi tunaweza kuzimiana wenyewe kwa wenyewe. Tusidanganyane, Degree za udsm hazina uwezo wa kumzimia balozi internet
  7. M

    JamiiForums Tanzania China & Ethiopia imetaja idadi ya watu waliofariki wakati wa Ujenzi wa bwawa la Umeme & reli ya Tazara. Mbona Tanzania hatutaji?

    Mtoa mada ni muongo.. Watu 15,000 ndio idadi ya wafanyakazi wote walioshiriki kulijenga hilo bwawa. Na uhalisia karibu wote walimaliza kazi wakiwa hai. Watu waliofariki kazini hawafika hata 100
  8. M

    JamiiForums Tanzania Takwimu: Tanzania kuna waislamu Milioni 22 tu sawa na asilimia 34.01% ya idadi ya watu wote, halafu ukiwaambia wanakataa wanasema wako wengi

    Sio tu Tanzania. Hata Nigeria wamefuta kipengele cha dini kwenye sensa yao. Mambo ya dini na kabila hayatakiwi kuwepo kwenye sensa maana yanaleta vita
  9. M

    JamiiForums Tanzania Takwimu: Tanzania kuna waislamu Milioni 22 tu sawa na asilimia 34.01% ya idadi ya watu wote, halafu ukiwaambia wanakataa wanasema wako wengi

    Hata waislam majina wapo wengi sana kila sehemu Hawajui msikiti wala quran
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jirani yangu kanunua gari kali kwa biashara ya kuunganisha wachumba hewa instagram. Wadada wanalipia hela instagram ili watafutiwe wachumba wenye hela

    Hapo hajatoboa mtumbwi. Maana hajamtaja jina. Page za kuunganisha wachumba zipo zaidi ya 100 instagram. Hivyo hakuna anaejua page ya tapeli ni ipi
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jirani yangu kanunua gari kali kwa biashara ya kuunganisha wachumba hewa instagram. Wadada wanalipia hela instagram ili watafutiwe wachumba wenye hela

    Hapo unakuta mpaka hao boda boda wanaochatisha wadada.. wamenunua piki piki zao kwa malipo ya huyo mjanja mwenye page
Back
Top Bottom