Recent content by meleck

  1. M

    CHADEMA Wawashambulia Viongozi Wa Dini Kisa Tu Kualikwa Kwao Ikulu!

    Hakuna tusi hapo. Hivi zile Nyaraka za Dini zilizokuwa zinatoka siyo wao walikuwa wanazitoa? Nini kimebadilika kwenye siasa za Tanzania toka wakati ule na sasa?
  2. M

    Edo Kumwembe: Kwanini Spika Ndugai anawalaumu wanaosema "Hapana" lakini anawakumbatia wale wa "Ndiyooo"??

    Akili kubwa pekee ndiyo inaweza kufanya hiyo Analysis
  3. M

    BASATA wanatoa wapi mamlaka ya kuzuia show za nje za Wasanii?

    Nilitegemea kuona watu wakiweka vifungu vya sheria inayowaruhusu Basata kufungia kazi za wasanii nje ya mipaka ya Tanzania. Badala yake naona watu wanaongea hisia tu. Nchi inaendeshwa kwa sheria na siyo mtizamo wa watu. Wenye uelewa wa sheria wasaidie hapa.
  4. M

    Chadema ni wepesi sana pakiwepo uwanja huru lakini hii ya kuwabanabana itawapa umaarufu wasioustahili!

    Chaguzi ndogo zikifanyika kwa uhuru huo ccm wangepata kioo cha kujitizamia. Kwa sasa hata wao hawana uhakika kama wanaungwa mkono na "viongozi" wanaojiuzulu au kuna wananchi ambao wako nyuma ya "viongozi" hao pia.
  5. M

    Sakata la Mafao: Spika wa Bunge kaudanganya umma? Hongera marehemu Bilago kwa kuacha alama

    Uwepo wa Bunge hili hauna impact kwenye maisha ya Mtanzania. Hata lisipo kuwepo maisha yataenda hv hv tu. Bunge limepoteza uwezo wake wa kuisimamia serikali.
  6. M

    Uganda: Askofu aitaka serikali kukata fungu la kumi katika mishahara ya waumini wao

    Serikali inakusanya kodi inaboresha huduma za jamii kama barabara, hospital, n.k. Wao hizo 10% wanazitumiaje?
  7. M

    Lugola: Tumegundua Lugumi hakuwa na kosa, ila Serikali ndio ilikuwa na matatizo

    Kwa kauli hii ya Mh Waziri naamini kuwa Lugumi atakuwa alilipwa kwa thamani ya Vituo 32 alivyofunga na siyo 108. Hela ya kufunga vituo 76 bado ipo kwa ajili ya kukamilisha zoezi pale serikali itakapoweka vizuri mazingira ya kufunga. Tofauti na hivyo bado kuna harufu ya wizi.
  8. M

    Alfajiri ya furaha kubwa! RIP DR. FUPI

    Two wrongs doesn't make it Right
  9. M

    Kauli hii ya Rais ndiyo matokeo ya chaguzi hizi za hovyo

    Etwege, Nguvu kubwa inayotumika kwenye hizi chaguzi ndogo dhidi ya Upinzani kwa kutumia vyombo vya dola hususan Tume ya Uchaguzi na Jeshi la Polisi inadhihirisha kuwa Wanaounga Mkono Juhudi za Mh. Rais ni viongozi husika tu na siyo wananchi.
  10. M

    Serikali yafuta fao la kujitoa katika mifuko ya hifadhi ya jamii

    Kuondoa Fao la Kujitoa ni Dhuluma kwa Wafanyakazi. Hii ni Indirect Tax baada ya Paye (Double Taxation) kwa maoni yangu. Serikali inatumia fedha nyingi za Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kufanya shughuli za maendeleo na hatimae kushindwa kuwalipa mafao yao wastaafu. Sasa wanatumia sheria kuzuia...
  11. M

    Sakata la tril 1.5 Dr. Slaa asema ni sababu ya bunge kupitisha vitu hewa. Hapa anakiri tumepigwa

    Weka content basi wadau waweze kuchangia kwa alicho kisema Slaa vinginevyo wengine wata changia kwa hisia tu hapa
  12. M

    Prof. Mark Mwandosya ni mpotoshaji

    Nilikuwa nimekosa imani na Maprofesa na Madaktari (PHD) angalau mzee Mwandosya amejitenga na Maprofesa uchwara.
  13. M

    Serikali yawarejesha kazini watumishi 1,370 walioondolewa kwenye ajira kwa kukosa sifa ya elimu ya kidato cha nne

    Ni wazi serikali ilitaka kuwarudisha hao wafanyakazi baada ya kugundua walikurupuka hapo awali. Ili isionekane kuwa serikali inajichanganya ikabidi kutumia bunge kuhalalisha mpango wao.
  14. M

    Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

    Akili ndogo inapopewa nafasi tatizo linakuwa kubwa badala ya kuongezeka. Ukuangalia list ya watu 10 waliotajwa na Musiba utagundua ni watu wa mtazamo flani. Hakuweza hata kuchanganya watu tofauti ili kuweka angalau legitimacy ya hoja yake. Siku hizi kuna "Watu wasiojulikana" ambao tayari tumeona...
  15. M

    Kamati ya Ulinzi na Usalama wa ya Bunge yashindwa kuwasilisha ripoti juu ya shambulio la Tundu Lissu

    Report tayari ipo mioyoni mwa Watanzania walio wengi.
Back
Top Bottom