Recent content by Melanny

  1. Melanny

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Bima ya bei nafuu kwa mtoto

    Habari wapendwa naomba orodha ya bima ambazo ni nzuri na nafuu kwa mtoto mwenye umri wa miaka mi tano (5)
  2. Melanny

    JamiiForums Tanzania Baba Mkwe simwelewi. Naona kama vile kuna sehemu hayupo sawa. Tusaidiane wajameni

    😂😂😂😂 yaani ww
  3. Melanny

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ngoja nikae humu
  4. Melanny

    JamiiForums Tanzania Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

    Pole sana
  5. Melanny

    JamiiForums Tanzania Hawakumpenda mke wa kaka yao matokeo yake hawawezi tena kumuona mtoto, ndoa inavunjika na mali zinaenda kupigwa pasu kwa pasu

    hii tabia ya kuamuliwa ndoa yako na ndugu sio nzuri kabisa
  6. Melanny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

    Itakuwa hujampenda tu. Ukipenda mnaependana. Anaweza kutoa haja kubwa mbele yako na ukavumilia harufu
  7. Melanny

    JamiiForums Tanzania Hii ni nyumba ya wachawi ninayoishi. Wachawi wanapika chakula changu

    Si mnaenda kula wote tu😂😂😂
  8. Melanny

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Mara nyingi post a nikiagiza huwa nalipishwa ushuru.sijui Hui imekaaje.au ukiwa na sanduku LA post a LA kwako.utakuwa hulipishwi??
  9. Melanny

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

    Ndio kaka.walinichangia na namshukuru MUNGU kupitia mtaji huohuo ndo naendelea Nao[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]..
  10. Melanny

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

    Kuanguka ndo kujifunza
  11. Melanny

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

    Inaendelea vizuri namshukuru MUNGU. Ila sip manukato..
  12. Melanny

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

    Yaaani huu Uzi natamani niufanyie lamination. Mwanangu akue akiusoma kila Siku. Kuna MTU Natamani asome ili asipotee mazima, baada ya kupata Pesa kiburi kimemjaaa na list ya mademu Kama zote.
Back
Top Bottom