Recent content by Mel James

  1. Mel James

    KERO Serikali, Watu wanazidi kujenga kuzunguka Uwanja wa Mpira wa Ikhanga-Igawilo Mbeya

    Habari ndugu zangu! Naomba kuwakilisha malalamiko kwa serikali kuangalia upya eneo linalozunguka uwanja wa mpira ambao ni mali ya serikali pia lipo chini ya halmashauri ya jiji la Mbeya. Uwanja huu ni mkongwe sana jijini Mbeya. Umetumiwa na timu kubwa kama yanga, simba wakija Mbeya kama kambi...
  2. Mel James

    Serikali tunaomba mzuie karoti zinazotoka Kenya

    MIpaka imefungwa kwa sisi kutoa bidhaa
  3. Mel James

    Serikali tunaomba mzuie karoti zinazotoka Kenya

    Kama wewe unayeangaika jf hujui ufanye nn
  4. Mel James

    Serikali tunaomba mzuie karoti zinazotoka Kenya

    issue sisi tumefungiwa mipaka.
  5. Mel James

    Serikali tunaomba mzuie karoti zinazotoka Kenya

    Natafuta mwenyewe me mwanaume siwezi kuilaumu serikali hata siku moja na kula kwa jasho langu na wala sitakuja kuandamana.
  6. Mel James

    Serikali tunaomba mzuie karoti zinazotoka Kenya

    ok poa fanya mpango wa soko sasa
  7. Mel James

    UKWELI MCHUNGU (GEN Z Hawataki Kusikia Lakini ni Ukweli 100%)

    Umemjibu vizuri sana vingine yupo right ila vingine huwezi toboa hata siku moja. Skills hazimtoi mtu ila uthubutu
  8. Mel James

    Vumbi likitua iwe marufuku taasisi zisizo za kisiasa kutoa matamko ya kisiasa

    Kabisa. Ila dini inafundisha haki na amani na kuwa wakwel sasa kama msingi mkuu wa elimu ikiona hivi vitu vinavunjwa hadharani haiwezi kukaa kimya
  9. Mel James

    Serikali tunaomba mzuie karoti zinazotoka Kenya

    Utawaza nini mkuu? Maisha yanasonga watoto wanatakiwa wale na wasome
  10. Mel James

    Serikali tunaomba mzuie karoti zinazotoka Kenya

    Wapi huko mkuu? Iyo bia ni ya mtumiaji wa mwisho au mfanyabiashara anajumua?
  11. Mel James

    Serikali tunaomba mzuie karoti zinazotoka Kenya

    Serikali tunaomba mzuie Carrot zinazotoka Kenya. Carrot hizi zinamuumiza sana mkulima. Ni kama kumpambanisha mkulima wa Tz na Kenya kwenye soko tena la nyumbani. Wakulima wengi wa nyumbani sio wakubwa na sio wa kulima maeneo makubwa. Mtu anayelima robo acre na mtu anayelima acre hamsini...
  12. Mel James

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Hii app ni moja ya app nzuri ambayo hakikisha unayo kwenye simu. Ipo playstore. Kama unataka maelekezo zaidi usisite kuuliza. https://app.getlee.co/r/b2350dbd39
  13. Mel James

    Msaada kupata App bora ndani ya App Store zinazopatikana pia Playstore

    Hii app tumia utanishukuru ipo playstore https://app.getlee.co/r/b2350dbd39
  14. Mel James

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Tumia app inaitwa pi browser kudownload movies
Back
Top Bottom