Recent content by Meku tz

  1. Meku tz

    Nyumba inauzwa million170

    Hii hapa chini, hii inatakiwa 170 milioni, ipo Tandika ina bedrooms 4,ina sitting room,ina dining, jiko na kisima. Inauzwa na vitu vyake vya ndani bado vipya na nyumba ni mpya
  2. Meku tz

    Jamaa ashinda million 760 kwa mkeka mmoja

    Ikitokea ukapata pesa ya aina hiyo kipi cha kwanza kufanya katika maisha yako
  3. Meku tz

    Jamaa ashinda million 760 kwa mkeka mmoja

    Kweli maisha ni [emoji294] kila mtu ana yake.
  4. Meku tz

    Jamaa ashinda million 760 kwa mkeka mmoja

    Jamaa mmoja nchini Kenya sikukuu ya Christmas imemjia vizuri baada ya kushinda na mkeka wake kwenye kampuni ya Sport Pesa. Jamaa mwenyewe jina lake ni Peter Byegon ni mfanyakazi wa hotel moja huko Nairobi ameshinda baada ya kupatia tabiri 16 kati ya 17 na kumpa ushindi wa kiasi cha Tsh...
  5. Meku tz

    Msaada wenu: Jinsi ya kupata pesa za masharti

    Nashukuru kwa mawazo yako Kaka
  6. Meku tz

    Msaada wenu: Jinsi ya kupata pesa za masharti

    Yaku kukuta utaelewa tu braza
  7. Meku tz

    Msaada wenu: Jinsi ya kupata pesa za masharti

    Wakifika bei poa broh
  8. Meku tz

    Msaada wenu: Jinsi ya kupata pesa za masharti

    Namsubiria Mungu anitendee wema kama wako ili niamini maana naona kama vile mm nimekuja duniani kukaa kwa bahati mbaya
  9. Meku tz

    Msaada wenu: Jinsi ya kupata pesa za masharti

    Kaka mm nimezaliwa kwenye familia ya kilokole lakin cha ajabu usengenyaji ndio umekua mkubwa tena unavunja moyo
  10. Meku tz

    Msaada wenu: Jinsi ya kupata pesa za masharti

    KAKA KAMA KWELI MUNGU YUPO BASI AKUBARIKI KAMA KWELI ANATOA BARAKA. ILA PIA KIKUBWA KATIKA MAISHA YANGU NI KAZI. MAANA MPAKA NAWAZA HAYA NIKWAMBA MM HUWA SIPENDI KUTEGEMEA CHA MTU AU NDUGU. UBARIKIWE KAKA
  11. Meku tz

    Msaada wenu: Jinsi ya kupata pesa za masharti

    Wadogo zangu bado wadogo na ndio wananichukulia mm kama baba yao
  12. Meku tz

    Msaada wenu: Jinsi ya kupata pesa za masharti

    Sawa braza Ntakutumia mawasiliano yangu inbox
Back
Top Bottom