Recent content by Meja vitalis

  1. M

    Siku nilipotemwa, niliambiwa haya....

    Mi niliambiwa niwe MSABATO!!!! Hii ilkuwa ngumu kwangu!! ila had sasa bado niko mguu mmoja nje mwingine mlangon!! Si unajua MAHANDSOME Hatuachi hivihivi!
  2. M

    vijana 60 wa vyuo vikuu mkoani Morogoro waikacha Chadema na kujiunga na CCM

    among of the great Philosophers once said that,"WISE MEN SPEAKS COZ THEY HAV SOMETHING TO SAY BUT FOOLS COZ THEY HAV TO SAY SOMETHING" Hii haikupaswa hata kuandikwa humu mpaka watu wenye heshima zetu, tusiodanganyika na T-shirt wala kofia KUZIONA!!> Aliyeweka naomba atoe mara moja!!!
  3. M

    Membe ni kiongozi wa watu na mwana diplomasia aliye komaa mwenye msimamo usioteteleka

    kwakweli mpo sahihi vijana na kuhusu mh. Membe naona kashindwa kazi na viatu walivyo mpa havimfai kabisa. Unajua viongozi wetu wanashindwa kuelewa kuwa sio kila viatu nafaa kuvivaa,uamuzi wa busara ni kuchagua kuvaa viatu vinavyo kutosha.MIMI kwa upande wangu siwez hata kujaribu kuvivaa hivyo...
  4. M

    Hakuna dawa ya mapenzi!

    Wengine hawajui kuoga wanajimwagia maji tu!! Kwa hali kama hyo huwezi kupendeka!!! Af msichana ni kama daradara, akikupiga chini inabidi utafute mwingine!
  5. M

    Hakuna dawa ya mapenzi!

    UMEONA ENHE!! ukioga na kujipaka lotion nzuri,pafyumu matata na ukavaa kwa heshima,,,,husipopata UKIMWI lazima uijaze dunia kwa kuwa na watoto weng!! UTAPENDWA WEWE!!!!!!!!!!!
  6. M

    Hakuna dawa ya mapenzi!

    UNAJUA wasichana wameumbwa ili siku moja waitwe wanawake! sasa bila kuwatongoza na kuwapenda unataka waolewe na mawe? all in all WAPO ILI TUWA ENJOY!! YOU HAVE TO ENJOY THEM!!
  7. M

    Hakuna dawa ya mapenzi!

    umona enhe! af mwanaume ukioga na kujiheshimu unaweza kuwachenga madem mpaka wakakom! KUDADEK!
  8. M

    Hakuna dawa ya mapenzi!

    dawa ya mapenzi ni kuoga na kupendeza tu! Mengine nyongeza!.
  9. M

    Kama elimu mnaona haifai,acheni tufanye mambo mengine!!

    Ina maana gani kuweka ufauru form four hadi DIVISION FIVE?! kweli kama viongoz wana busara basi wakachunguzwe upya kwa vipimo maalum kuona kama kuna ambao wamewah kutumia viharibu akili!! WENGINE HAWAFAI! bora kukawa empty kuliko mawazo uchwara! EBO!!
  10. M

    Kanembwa!!! Yavunja rekodi!

    Hakuna maana ya JKT kama maafande wanawalazimisha wasomi wanaoenda huko kutoa PENZI kwa nguvu! jirani yangu aliyeenda huko awamu ya pili kasimulia alivyogawa penzi lake kwa lazima hadi kushindwa kutembea!? INAUMA XANA!
  11. M

    Jkt ni unyanyasaji tu!

    Hebu tazameni dunia ilivyo na vituko! kila mtu akishapata chansi basi anajitahidi kufunga mlango kuzuia wengine ili wasifanikiwe kama yeye!.tutazame lengo la viongozi wetu wa siasa waliojaa ufisadi na ubadhilifu mkubwa wa mali ya umma ndo leo wanaoleta wazo la kuwapeleka wasomi JKT eti wajifunze...
  12. M

    Hakuna dawa ya mapenzi!

    Walio wengi hushindwa kujua kuwa biashara ni matangazo,na sio kila anayetangaza basi anabiashara ya kweli,wengine ni mbinu ya kujiinua kimaisha maana bila akili huwezi kuendana na changamoto za mjini.Kuna jamaa mmoja kamfukuzia demu kwa takriban miezi nane bila mafanikio,baada ya kuona hivyo...
  13. M

    Tunataka maendeleo, hatutaki vita! Tuzikatae kauli hizi za uchochezi

    Kama umewahi kusikia serikari BUBU na isiyo sikiliza madai ya wananchi huku wakisubiri kusambaratisha maandamano kwa MABOMU basi ndo hii hapa ya TANZANIA.Hebu fikiriawakazi wa KAHUMULO;WILAYA YA MULEBA MKOANI KAGERA;kila siku wamekuwa wakihangaika kufuatilia mafao yao juu ya kubomolewa nyumba na...
  14. M

    Mpaka maandamano???

    Wawekezaji wengi wanaokuja kuwekeza Tanzania,wanashindwa kulipa fidia kwa hathari mbalimbali zinazotokana na uwekezaji wao na hii ni kwa sababu ya mfumo mbaya wa serikali ya mapinduzi!,mfano wakazi wa Wilaya ya MULEBA tarafa ya IZIGO mkoani KAGERA,wamekuwa wakipata shida sana kwa uwekezaji...
  15. M

    Husisome hapa!!!!

    Kwa wale mwaka wa kwanza wa MUCE,naomba tuvumiliane maana pesa yenu ya BOOM ipo kwenye process! soon mtaipata! samahan kwa kucheleweshwa sana.
Back
Top Bottom