Recent content by meidimu sirkon

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tulivyokuwa tukiiba almasi mgodi wa Mwadui na wenzetu kuuawa

    Hapo kweny sanamu Williamson bado wajaanza kuchimba almasi? Kwani uwanja wa ndege bwawa la maji yote vimeshavurugwa mpaka maeneo ya hospitali
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rungu la TCRA lazikumba kampuni 5 za simu, zatozwa faini 125ml

    Ile sheria ya flat rate ya kupiga simu kutoka mtandao mmoja kwenda nyingine mbona mmefumbia macho?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyakazi hatuna TIN numbers?

    Hapo ndg mchangiaji mada hii umejichanganya sana kwani makato ya mifuko ya jamii kila mfanyakazi anakuwa na namba ya utambulisho.Kwani nao TRA isitumie mfumo huo huo kama mifuko ya jamii?????????
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mfalme Suleiman (970-931BCE) ndie tajiri zaidi kuwahi kutokea duniani

    Kwa hiyo Biblia imeandikwa uongo?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa

    Hallo umetoka nje ya mada au mstari
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanaomfuata Lowassa mnapoteza muda wenu, Magufuli anasubiri kuapishwa

    Heri ya shetani unayemjua kuliko malaika usiyemjua Kwa hiyo tumeamua kumkabithi mchawi mtoto alee mwenyewe!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wanaomfuata Lowassa mnapoteza muda wenu, Magufuli anasubiri kuapishwa

    Vipi wewe akili yako haina kumbukumbu hata kidogo ya Esrow?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wanaomfuata Lowassa mnapoteza muda wenu, Magufuli anasubiri kuapishwa

    Nakusikitikia sana kwani sasa hivi ni serikali ya nani iko madarakani mpaka viroba vinauzwa kama maandazi barabarani na kuharibu nguvu kazi ya TZ?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wolper aiaibisha UKAWA kwa mafuriko feki

    Mbona unalazimisha maji ya mfereji kupanda kupanda mlima?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe na gari ya waziri wa ujenzi ,

  11. M

    JamiiForums Tanzania Mafuriko ya CCM Star TV Moshi ni fake

    Jana jioni walipomaliza kampeni nilikutana na kundi kubwa la wanafunzi wamevalishwa sare nyeupi wakaniambia kuwa kula ccm lala ukawa
  12. M

    JamiiForums Tanzania CHASO kufanya maamuzi magumu leo Dar es salaam

    Chadema imenunuliwa na mtanzania mwenzetu lakini gesi yetu,madini wanyamapori wamenunuliwa na mchina ,mzungu na mwarabu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Twiga wanaoonekana kwenye mitandao ya kijamii na kudaiwa kuwa ni twiga wa Tanzania, Si kweli

    Serikali yenyewe haiwi wazi kwa wananchi wake leo tunaambiwa kuwa yule hakuwa twiga bali ni tembo
  14. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO, mgao huu una sababu gani tena?

    Nadhani bado hujatoa sababu za kisayansi kwanini umeme hautoshi na siku za nyuma ilikuwa inatosheleza??????
  15. M

    JamiiForums Tanzania Zitto, Kafulila washambuliana

    Hivi kwa akili yako ndogo tuu nchi ikiwa na uongozi madhubuti inawezekanaje kwa ufisadi kutokea???????????
Back
Top Bottom