Recent content by mehhi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atangaza Baraza Jipya la Mawaziri - 10 Disemba 2015

    Huyu zero kabisa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    hii imekaa vzuri zaidi, mawazairi wengine wanakuwa mizigo, makatibu wakuu ndo kila kitu bhana
  3. M

    JamiiForums Tanzania TRA yakusanya tsh. 5bn kodi ya makontena 329, wafanyakazi 37 wasimamishwa kazi mchana huu

    Bandari na TRA watangaza upya nafasi za kazi, waliopo wote wafukuzwe kabisa mana idara zote ni uozo mtupu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nafikaje Mbulu Manyara

    Dar to Babati kupitia Singida utafika saa kumi nambili jioni, afu utalala babati asubuhi utapanda landcruser mpk mbulu binafc naona ni karibu zaid,
  5. M

    JamiiForums Tanzania Waraka wa kufuta ada elimu ya sekondari (1-4) na michango yote elimu ya msingi

    Umeambiwa shule zote za serikali elimu ni bure hajalishi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Arusha - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Vp Olesendeka jaman?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nani kalipia muda wa maongezi wa Kingunge N. Mwiru?

    Huyu atakuwa pre-unit hata darasa la kwanza bado hajaanza
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nikisema 'Magufuliii' unajibu 'Ndo Nani?

    Ndo naniiiii?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mwanachama mwenzetu wa JamiiForums, Msamiati afariki dunia

    Upumzike kwa amani mpendwa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Kibamba kufanya maamuzi magumu

    Mdee lazima achukue kura yangu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mtanzania ajirusha Juu ya Ghorofa 3 yeye na mwanae, Kafariki yeye mwanae mahututi Hospitali

    Ee bwana wape punziko la milele
  12. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa katika kashfa mpya! Ni ya uuzwaji kiholela wa UDA

    Kura yangu kwa lowassa tyuu, dr masaburi ametoa majibu kwa makalio hajatumia ubongo, na hatudanganyiki ng'oo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Kura Wanaswa, Mpango Mzima Huu Hapa

    Kafungulie kesi kama kwel, mmeshikwa pabaya ficiem
  14. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yawajibu UKAWA kuhusu safari za Rais

    Ni utumbo mtupu unaozungumzwa na serikali, sasahiv hatudanganyiki ng'ooo
Back
Top Bottom