Nafikaje Mbulu Manyara

Nafikaje Mbulu Manyara

Hongera Magufuli kauli yako imesaidia wengi si serikali tu kuna watu sasa wameghaili safari za ulaya wameamua kwenda kusalimia wazazi wao kijijini.
 
Tahadhari: hakuna mabasi ya luxury ni mwendo wa land cruiser na fuso
 
Ktk wilaya zilizosahaulika ni Mbulu,hakuna barabara ya lami inayoingia ktk huo mji,lami ni kipande kidogo sana katikati ya mji,My take: beba condom hawajui kukataa
 
Ktk wilaya zilizosahaulika ni Mbulu,hakuna barabara ya lami inayoingia ktk huo mji,lami ni kipande kidogo sana katikati ya mji,My take: beba condom hawajui kukataa

Mmmh! inamaanisha wao ni kazi tu!
 
Wazungu wazungu wa Iraqw, watoto wakaliiiiiiiiii, kama Ethiopia vile, waarab, chotara, au kama ma halfcast vile, weupeeeee, wazuriiiiiiiiiiiiii Tz hakuna kama Wairaqw...

Ila chunga, demu wa kule akikukataa hata ufanyeje hakubali, waarab flan vile
Amazing...💏
 
Dar to Babati kupitia Singida utafika saa kumi nambili jioni, afu utalala babati asubuhi utapanda landcruser mpk mbulu binafc naona ni karibu zaid,
 
Huko mbulu jamani nipazur sana hali ya hewa mwanana viababy vya kumwaga mm mwenyewe nilisoma mbulu shule ya Imboru sec.school,njia rahis panda dae exp au saibaba asubuh chukua cruser mapema tu upo ndan ya wilaya mama ya mbulu.
 
Ukifika Arusha, uliza Majengo Bar kuna Landcruiser nauli haizidi 20,000. Safari zinaanza saa moja asubuhi saa saba uko Mbulu
Angalia unapopanda hizo Landcruiser usijionyesha kama una vi milioni vyako ,hutaiona tena Mbulu
 
Aisee kuna haja ya kufanya utalii wa ndani kwnye huu mkoa wa Manyara,niliwahi kupita njia ya Singida kwenda Arusha nikitokea Mwanza kile kipindi barabara ni ya vumbi na tulitumia siku 3 kutoka Singida hadi Arusha kupitia Babati,sasa nataka nijipange niende,Babati,Mbulu,Hanang,Kiteto(huku sikupendi kuna ukora sana,wamasai wa Kiteto wao jibu ni sime tu),kwa Ole Sendeka(Simanjiro) nako kuna Wamasai wakora ,huko nako jibu ni sime tu,halafu Ngorongoro na Karatu ,nadhani nikiwa na 3m itatosha,huu mkoa unaonekana una mambo mengi ya kuvutia lakini washika dau wamelala usingizi wa pono.
 
Hata mm ngoja nitaenda tu huko Mbulu, nilishapita Karatu, to Ngorongoro... pia Karatu kuna watoto wa Kiiraqw waraab flani vile.. balaaaa
 
Kama unatoka Dar panda Dar Express ama Saibaba mojakwa moja mpaka Karatu lala hapo asubuhi mapema panda gari ya kwanza bus au cruiser tatu nne upo Imbolu ukifika usisahau kuniPM nikuonyeshe viwanja
 
Kama unatoka Dar panda Dar Express ama Saibaba mojakwa moja mpaka Karatu lala hapo asubuhi mapema panda gari ya kwanza bus au cruiser tatu nne upo Imbolu ukifika usisahau kuniPM nikuonyeshe viwanja

.....

.....aloe???
 
Wakuu naomba msaada jinsi ya kufika mbulu Manyara kwa barabara, na mabasi gani mazuri luxury tafadhari na makadirio ya nauli sh ngapi

....

....panda Dar express moya kwa moya Dubai (Karatu) ...hoteli nzuri ya kulala Panorama...viwanja vya kula kuku ..Carnivore..Jack pub..Galaxy..Kilima nnyegge...kwa Merrie wo wo wo...Pub la Monte...Savanna karibu na office ya peoples....morning panda Mkonga wahi kiti cha mbele...
 
Back
Top Bottom