Recent content by Megfar2001

  1. Megfar2001

    JamiiForums Tanzania Kulingana na mstari huu wa Biblia mwanamke hapaswi kuajiriwa huku ameolewa

    LEO NDO NIMEAMINI BIBLIA INAWEZA KUMPOTEZA MTU
  2. Megfar2001

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke yukoje

    Kimeumanaaa
  3. Megfar2001

    JamiiForums Tanzania Online skills gani iko sokoni sahivi, ambayo mtu akisomea hata juta maishani mwake?

    Habari wanajf Kuna rafiki yangu ni mwajiliwa mahari flani , anamuda mwingi wa ziada baada ya kazi, anataka huo mda wa ziada ajifunze kozi nzuri online ambayo ipo sokoni Ili imsaidie kupata pesa ya ziada baada ya kumaliza masaa ya kazi. Vifaa vya kujifunzia vipo Pc, smartphone, bando 24/7 hours...
  4. Megfar2001

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    Njoo inbox nikupe unipe namba yako nikutumie kitabu kinaitwa, siri ya maombi ya mda mrefu, i believe kitakusaidia sanaa mkuu
  5. Megfar2001

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya chuo, nipo tayari kufanya kazi yoyote ile ila uwe halali tu

    Asantee sanaa, ila sijutii kusoma hii kozi it's the best course in Tanzania , iko poa sanaa naifurahia sana
  6. Megfar2001

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya chuo, nipo tayari kufanya kazi yoyote ile ila uwe halali tu

    Asantee kwa kunitia moyo kaka, pamoja sana
  7. Megfar2001

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya chuo, nipo tayari kufanya kazi yoyote ile ila uwe halali tu

    Habari zenu wanajamii forum, wakubwa shikamoni Kwa jina naitwa michael, ninamiaka 24 nimkazi wa Dodoma mjini mtaa wa area c. Nimemaliza chuo kikuu mzumbe mwaka huu 2025, ujuzi nilionao ni: kutumia pc vizuri kuanzia Microsoft office na vingine, Najua kufanya graphics design vizuri, najua video...
  8. Megfar2001

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama wanawake wanaweza kuongoza katika siasa inakuaje hawawezi kuongoza katika dini?

    Nipe fact kwanni unasema hivo
  9. Megfar2001

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama wanawake wanaweza kuongoza katika siasa inakuaje hawawezi kuongoza katika dini?

    Dini ni maswala ya kiroho zaidi,na siasa ni mambo ya kimwili zaidi so haviingiliani
  10. Megfar2001

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu ananipa Kila kitu kasoro kitu kimoja tu. Nishaurini nataka kuvunja hii ndoa

    Kataa ajira ni utumwa
  11. Megfar2001

    JamiiForums Tanzania Nipepo au ni uraibu? Anaomba msaada

    @ spiritual world 🌍 ov SPIRITUAL WORLD 🌍 control fresh world
Back
Top Bottom