Recent content by meeeeee

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya business consultant inawaletea habari njema wakazi Wa arusha...

    Je,,...unasumbuliwa na matatizo ya kodi. Hujui ufanyeje..? Umefungua kampuni huna mtu Wa kukupa ushauri Wa kibiashara..? Au wakukufungia mahesabu yako ya mwaka..? Wa kukutumia returns zako za kila mwezi..? Au mahitaji yoyote yanayohusiana na biashara kama.. Kuandika project planning... Kufanya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Baby sitter needed

    Habari wandugu kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta mschana Wa kukaa na mtoto kama unatafuta kazi au unaweza kufanya kazi hiyo Tafadhali njoo DM Maali ni arusha mshahara makubaliano Atapewa pakulala na chakula na kila kitu kitakua juu yangu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Umewahi kufuatilia maongezi ya mkeo na michepuko yake?

    Ivi ni wanawake tuu mbona hata wanaume wanacheat sana tuu au wanaume wako ni haki yao
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    The heirs Flower boys The Queen of heon The legend of the blue sea
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Empress k Doctor stranger Birth of a beauty Pinocchio Marriage is not dating K2 Spy My love from the star Glass mask Temptation Just to mention few
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira yoyote ya kuiingizia kipato

    Habari zenu wana JF! Mimi ni msichana umri miaka 25 elimu degree natafuta kazi yoyote ya kufanya nijiingizie kipato niweze kujikim kwa sasa ni mjamzito last trimester ila natafuta Ajira vyuma vimekaza ninauzoefu Wa kufundisha masomo ya uchumi na history advance nikipata shule ya kufundisha...
Back
Top Bottom