Natafuta ajira yoyote ya kuiingizia kipato

Natafuta ajira yoyote ya kuiingizia kipato

meeeeee

Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
6
Reaction score
7
Habari zenu wana JF!

Mimi ni msichana umri miaka 25 elimu degree natafuta kazi yoyote ya kufanya nijiingizie kipato niweze kujikim kwa sasa ni mjamzito last trimester ila natafuta Ajira vyuma vimekaza ninauzoefu Wa kufundisha masomo ya uchumi na history advance nikipata shule ya kufundisha masomo hayo kwa APA dar nitashukuru sana au chuo kufundisha economics na accounts au kama kuna kazi yoyote ambayo naweza kufanya kwa hali yangu nitashukuru Sanaa


Naomba kuwasilisha
 
Tulia tu dada angu ulee mimba yako, na ukishajifungua ndio utafute kazi sio mbaya
 
Baba kijacho si yupo, hakuna haja ya kusumbuka watalea tu pamoja

Ni kweli kabisa bora atulie kwanza alee mimba ajifungue baba mtoto yupo, kibaya awe sharobaro wa chuo anaevaa modo na kulegeza suruali ndipo changamoto inaanza

Ajitahidi alee ujauzito hata akiwa nyumbani kwanza sasahv wanaweza mbagua sana akapata stress tu
 
Pole sana dada,sie wanaume sijui vipi yaani badala mume ailee mimba virivyo ndo kwanza tunasepa
 
Baba kijacho hawa wa kisasa akipata pesa anafikiria kununua toleo jipya la simu janja...... Ukiona mtu amejiongeza kuomba kibarua akiwa na hali hiyo ujue upande wa pili hausomeki.
Hapo umenenaaa sasa nakupa likes
 
Hiyo mimba imeharibu sifa ya kupata kazi nilotaka kukupa
 
Back
Top Bottom