Baby sitter needed

Baby sitter needed

meeeeee

Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
6
Reaction score
7
Habari wandugu kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta mschana Wa kukaa na mtoto kama unatafuta kazi au unaweza kufanya kazi hiyo Tafadhali njoo DM
Maali ni arusha mshahara makubaliano
Atapewa pakulala na chakula na kila kitu kitakua juu yangu
 
Back
Top Bottom