Haaaahaaaa... maraaa pap anaaaingiaa kwenyeee mtegoo wa Mbwembwee za mnyama Dassu [emoji23] lazmaaa Atubuuuu. Haitoshiiiii Anafanyiwaa figisuu kadiii yake ya Ecco Water inaaagoma kufanyaa kaziiii[emoji23]
Mkuu mi nadhani Unata
kiwaa kuingia katika web ya chuo husika . pale ndio utakutana na Attachment za joining instruction na medical report form na vinginevi vinavoitajika kwa mwaka husika. then ndio uta download. SIJUI KAMA UMENIELEWAA MKUU?
Naimani wew ni msomi 📚na sina shaka kuwaa Elimuyakoo haijakukomboaaa...🙇🏻 kwani hunaa hata certificate ya sheriaaa.... kwani umeonaa kama kunahata mwanasheria 1 aliyeleta shobo kama wew?,? bas wachukuliee hatuaa wew kwenye mahakamaaa yenu! 👌 Fikiri kabla...
HAYA NDO MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2014/2015
------------------------------------------------------
Wasichana Wote ====> herufi A mpaka Z
http://www.pmoralg.go.tz/menu-data/adverts/form-five-selection-2014/WASICHANA-SHULE-ZOTE.pdf
Wavulana ===> Herufi A mpaka L...

Hapa ni kwa masaa ya kawaida nyumbani east Africa....fahamu muda gani timu uipendayo itashuka Dimbani Hapa ni kwa masaa ya kawaida nyumbani east Africa....fahamu muda gani timu uipendayo itashuka dimbani
Group A Group B Group C Group D Group E Group F Group G Group H
Brazil Spain Colombia...
Asante sana kaka kwa kutueleweshaaa , kwa hiyo hapa inaonyesha hawa perfect vision wapo ki Maslahi zaidi.
Jamaniiiiiiiii vip.......!? Mbonaaa inagomaaaaaaa
Muda siyo mrefu nimeona Tangazo la Shule ya PERFECT VIRSION wakiangaza kuwa Eti ukiwa na 'D' 3 unaendelea na Kidato cha 5 . Hiyo nikutokana na Taarifa za mabadiliko katika Wizara ya Elimu.
SASA SIJUI KAMA KUNAUKWELI WOWOTE KUHUSU HILO..???

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.