Recent content by Medy Alpha

  1. Medy Alpha

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu Ajira za Walimu

    Mi naomba kuuliza, Ivi izi ajira za walimu kumetolewa tangazo jipya tayari!?
  2. Medy Alpha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Tokea nmeingia JF hii ndio best story nimepata kuisoma, I wish to see many more stories like this... Kma kutakuwa kuna story yyte, wakuu tusiacha kushare please!
  3. Medy Alpha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Uzi umekuwa poa sana, umejaa mafunzo ya kutosha. Kiupande wangu kuna mengi sana niliyojifunza. Hongera sana mkuu INSIDER MAN Zao la mwisho (final product) kutokea kwa heading ya story, mwanzo ilivoanza na mpaka sasa inavoishia ni hicho kiumbe ambacho kimebebwa tumboni kwa Iryn na ni kitu...
  4. Medy Alpha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    N:B Ndugu mfuatiliaji zingatia hii statement kwa makini sana "Stop disrespecting my woman"
  5. Medy Alpha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Yani binafsi baada ya kuona mzee baba kazabwa kibao cha masikio na mtoto wa kike mwenye roho ya upole na asiye na tabia ya ukatili, niliona kabisa hiki ndo kinachoenda kuchukua nafasi, kinachoenda kutokea ni comeback ya kuliwa Iryn kwasababu akilini kwake asingeweza kuwa sawa kwa kumzaba kibao...
  6. Medy Alpha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ni kampuni gani mkuu
  7. Medy Alpha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kudownload movie

    Msaada Nahitaji kudownload series ya Night Agent
Back
Top Bottom