Recent content by medy 2

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu jinsi ya kuweka matangazo kama YouTube

    Naomba kufahamu jinsi ya kuweka matangazo kama YouTube unaplay kitu yanakuwa ubavu wa kushoto na chini
  2. M

    JamiiForums Tanzania Habari ndugu zanguni

    Kuna njia au namna yeyote ya kupata tin number maana niliwahi kusikia kuna njia ya kudownkoad ila sijajuwa ni kwa namna gani? Msaada kwa mwenye kuelewa
  3. M

    JamiiForums Tanzania App store

    Mimi nahitaji gbwhatsapp kwenye iPhone nafanyaje
  4. M

    JamiiForums Tanzania block

    Wakuu naomba msaada wa website zilizoblokiwa nashindwa kudownload baadhi ya vitu nashindwa kuinstall application
  5. M

    JamiiForums Tanzania Linux (Ubuntu, kubuntu, Debian, fedora, linux mint, kali linux, android etc) special thread

    Kaka bado ikifika kwenye hiyo picture nilotuma ndio tatizo langu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Linux (Ubuntu, kubuntu, Debian, fedora, linux mint, kali linux, android etc) special thread

    Jamani hapa ndipo lilipo tatizo langu saivi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Linux (Ubuntu, kubuntu, Debian, fedora, linux mint, kali linux, android etc) special thread

    Na hiyo picture nilotuma ndio driver zinavyosoma
  8. M

    JamiiForums Tanzania Linux (Ubuntu, kubuntu, Debian, fedora, linux mint, kali linux, android etc) special thread

    Hii ni desktop lakini haikubali kuconnect na wifi mpka nitumie waya
Back
Top Bottom