Recent content by mediy dullah

  1. mediy dullah

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nauza HTC desire 816 ina creck kwenye kioo inachagua charger unatakiwa kupata charger original ya HTC bei 150,000. Nipo Dar es Salaam 0622826212.
  2. mediy dullah

    Jifunze hapa kuhusu marine engineering

    KITU CHA MSINGI AMBACHO BADO NI KIGENI KWETU. Habari za wakati huu watanzania hasa wadau wa maendeleo na technolojia. Kuna kitu kidogo napenda kuwafahamisha. Katika sekta ya viwanda hasa katika upande wa wataalamu wa mitambo.Marine Engineers ni wafanyakazi bora kabisa kwa kazi yako. Kwa nini...
  3. mediy dullah

    Bodi ya mikopo hampo siriasi

    Haya nime edit soma na utoe wazo lako....
  4. mediy dullah

    Bodi ya mikopo hampo siriasi

    Habari za wakati huu home of great thinker .Najua humu wapo wadau wengi tu wa elimu ya juu. Nataka niwakumbushe kitu bodi ya mikopo kuhusu chuo cha Bahari DMI. Chuo cha DMI ni moja kati ya vyuo vikubwa katika kutoa maritime education...
  5. mediy dullah

    Tovuti ya IFM imekuwa hacked.

    Duuuuuh noma iyooooooh.wamewazidi ujanja.
  6. mediy dullah

    Walichofanya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu sio haki!

    Acha presha mdogo wangu.kila kitu kina utaratibu wake.unavyosema arts hawapewi mkopo mbona kwenye ile list kuna watu wa education art na sheria.kuna watoto maskini wengi tu.Isitoshe umeambiwa hiyo ni awamu ya kwanza sasa uvunje sheria za nchi ili iweje.Usipaniki mwaka huu watu wote waliokidhi...
  7. mediy dullah

    HESLB: Orodha ya Majina ya Waliopata Mkopo (Awamu ya Kwanza) 2016/17

    Taarifa hazijakamilika msiwe na haraka maana hata wale waliopo kwenye ike list nao wanaandikiwa hivyo.
  8. mediy dullah

    Kuhusu maombi ya mkopo HESLB

    Mtakuwa mnakosea ku format index number.inatakiwa kuachanisha ceter namber na namba ya mwanafunzi kwa nukta sio mkato.mfano S2078.0056.2009
  9. mediy dullah

    Naweza kupata hostel Kigamboni?

    Habari za muda wakuu. Naomba kujuzwa kama naweza kupata privet hostel maeneo ya Kigamboni, utaratibu wa kupata upoje, vyumba vina ukubwa gani na ni gharama kiasi gani.
  10. mediy dullah

    Kilio Chetu Mabaharia Kwa Mheshimiwa Rais.

    Mkuu me naomba unipe information kidogo kuhusu hii coz ya marine engrng.+255625901327
  11. mediy dullah

    Prof. Mbarawa akagua chuo cha Mabaria (DMI) ''

    Vipi mkuu,hivi kozi ya bachelor ya marine engeneering ipoje?
  12. mediy dullah

    Msaada kwa anayefahamu chuo cha Dar es salaam Maritine Institute

    Habari wakuu. Naomba kupata maelezo angalau ya kunitoa gizani kuhusu hii kozi ya Marine Engeneering ipoje,changamoto zake,uzuri wake,ajira zake na maelezo mengone muhimu.Najua hapa ni home great thinker nitapata majibu.
  13. mediy dullah

    Engineering ipi unaikubali sana?

    Me naona computer engeneering maana una uwezo wa kujiajiri.
  14. mediy dullah

    Ushauri: Nisome Computer Engeneering au Telecom Engeneering

    Unachokisema ni sahihi ila ukisoma vizur maelezo yangu utaelewa nini namaanisha ndo maana nimetangulia kusema mapendekezo yangu ni computer engeneering na telecom.nilichokuwa nakihitaji ni kupata ushauri.Hata ule usemi wa usilolijua......... mbona upo wazi kabisa....
Back
Top Bottom