Recent content by medalgal

  1. M

    Waziri Kawambwa funguka!

    Maisha magumu Dodoma tu na ndo maana wanalipana 2,000,000 kwa cku ilhali mwalm analipwa laki 2 kwa mwezi.
  2. M

    Breaking neeeeewz

    Tatizo ni siasa everywhere!
  3. M

    New comer

    hodi wenyewe!
  4. M

    A new member....

    Hi wana jf. Nimekuwa nikiingia jf for a while km unregistered lkn sasa nimeamua kuwa member ili nisipitwe na mada nzuri zinazojadiliwa humu.
  5. M

    Sensa; ilikuwa lazima kufunga shule?

    Mgomo umewaponza ingawa serikali sikivu inajaribu kutudanganya.
  6. M

    Mwalimu daraja la mafanikio lkn.................

    Huwa najiuliza kila cku hivi thaman ya mwalim iko wapi? Unaishi mwez mzima kwa posho ya kikao k1 cha mbunge? Hii inatisha!
Back
Top Bottom