Sensa; ilikuwa lazima kufunga shule? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sensa; ilikuwa lazima kufunga shule?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MAKOLE, Aug 14, 2012.

 1. MAKOLE

  MAKOLE JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 601
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Semina za sensa zinaendelea karibu nchini kote katika Tanzania huku kukiwa na habari kwamba asilimia kubwa sana ya walimu ambao walidhaniwa ndio wangeliendesha zoezi hilo wakiwa nje ya semina hizo, kwa maana ya kwamba wameachwa katika zoezi. Kwa mfano, sehemu kubwa ya walimu katika Manispaa ya Tanga hawapo katika hilo zoezi.

  Hali hii inanifanya nishindwe kupata uhusiano kati ya zoezi hili la sensa na kufungwa kwa shule zetu!
   
 2. m

  medalgal Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mgomo umewaponza ingawa serikali sikivu inajaribu kutudanganya.
   
 3. T

  TEGETA KIBAONI JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 622
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  kwa taarifa yako mgomo wao walimu ulishanukia hivyo sirikali akaweka plan B yao ingawa walijisahau suala la kufunga shule,tatizo walilonolo ndugu zangu walimu ni kwamba plan B yao haina Makucha na madhara yake yananyata ila wasikate tamaa tutarajie marizati mabovu drs 7,kdt cha2 na cha 4, kwa wale walimu wa walimu wenzao angalia matokeo ya stashahada ya ualimu matokeo yao ya mwaka huu,ndio utajua wale mgomo wao ni wa silence hauna kwere wala nini.
   
Loading...