Recent content by mecy

  1. M

    Wassira "Tyson" ampiga M/kiti wa CCM mkoa Mara

    atapewa ubalozi akikosa ubunge,wenzetu wanapeana vyeo na kulindana,
  2. M

    Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

    eti umeme ndo unarudi sahv.duh ! Kweli wao wana mamlala na kuamrisha.siasa za tanzania za kishamba.kama kweli ilikuwa ni hujuma ,mwenyez mungu awahukumu kulingana na uovu wao.
  3. M

    Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

    tanesco wana fanya fitina za wazi,sehem kubwa ya nchi wamekata umeme,
  4. M

    Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

    mbona itv hawarushi matangazo haya makamanda?
  5. M

    Kumekucha UKAWA: Lipumba kutoa msimamo wa CUF leo saa tano Asubuhi

    eti updates ,halafu unauliza ,je ni kutokujua matumiz ya jamii forums?
  6. M

    Yaliyojiri bungeni Dodoma: Jumapili, 5 Julai 2015

    hukumu itawajia mapema tu hao maccm kwa kuwadhulumu watz maliasili yao.
  7. M

    Mchakato wa gesi na mafuta utata mtupu

    ni dhahiri mwenyezi Mungu anawafungua wananchi uelewa wao ili kupigania maslahi yao kupitia masuala haya yanayofanywa kinyume na haya maccm,hvyo wananch wafunguke na kupinga mambo dhalimu .
  8. M

    Yaliyojiri bungeni Dodoma: Jumapili, 5 Julai 2015

    mleta mada ufahamu wake ni mdogo sana,suala la bunge kufanyika leo lilijulikana mbona,sheria ilitenguliwa na kuruhusu mjadala ufanyike,rudi kajipange upya,
  9. M

    Tundu Lissu asema watoto wake hawawezi kusoma shule za kata

    enzi hzo kaka,lakini sio sasa,
  10. M

    Tundu Lissu asema watoto wake hawawezi kusoma shule za kata

    namuunga mkono tundu lisu mia kwa mia,wananch kuendelea kukipa dhaman chama kilichoshndwa kuboresha elimu,leo mnapewa fursa hyo mnagoma,then apeleke shule za kata,no no,hata mimi sipeleki shule za kata mwanangu,
  11. M

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    taifa linaingzwa mkenge na Seth!aibu. Hata kama muhongo kafanya vizuri kwahili baya wajibika ndg,Werema amesema anamlinda maswi,kwann wasielekeze kumwondoa AG?
  12. M

    Kitakachotokea kesho bungeni

    wewe jamaa kama umeota vile,wamefanya kama ulivyosema.
Back
Top Bottom