Recent content by mecki

  1. mecki

    Unaionaje na kuitafsiri falsafa ya Rais Samia Suluhu Hassan ya 'hawa ni chawa wangu?

    Ninawaza kwamba neno Chawa hapa halijatumika katika dhana ya mdudu. Kama vile kusema mchizi wangu ambavyo kwa mazingira ya kawaida yasiyo rasmi linatumika kama mtu wa karibu mnaeivana.so hapa chawa limetumika kama mtu wangu ambaye ananifeed taarifa fulani.lkn pia ananufaika na uchawa huo.win win...
  2. mecki

    Dodoma: Hatimaye kinara wa dawa za kulevya, Suleiman Mbaruku Suleiman aka Nyanda adakwa

    Mi nashauri tu watz wenzangu kuepukana na matumizi ya madawa ya kulevya na biashara ya madawa haya na kemikali bashirifu (Precursors) Maana DCEA wamejipanga kisawasawa.na adhqbu zao hazibebeki kabisa. Mfano hao jamaa waliopatikana na kosa la uhalifu uliovuka mipaka automatically wana adhabu ya...
  3. mecki

    Unaweza kurudisha Muamala wa Fedha iliyotumwa kimakosa kwenye akaunti yako ukiwa umefulia mbaya?

    Endelea na moyo huo.mara nyingi matokeo ya tabia hizi uenda Kwa vizazi vyetu vijavyo.watu waaminifu.
  4. mecki

    Unaweza kurudisha Muamala wa Fedha iliyotumwa kimakosa kwenye akaunti yako ukiwa umefulia mbaya?

    Pesa au Mali ya watu lazima nirudishe. Niwape ushuhuda wangu. Miaka kama miwili nyuma nilipokea muamala kutoka Safaricom kama laki na vipoint. Nilimtafuta aliyetuma bila mafanikio na hapo nimenunua Bando la kimataifa 5000tsh kama dk 5 na meseji chini ya 12. Niliwasiliana na Safaricom na Vodacom...
  5. mecki

    Kamati Kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti Samia yaridhia Daniel Chongolo kujiuzulu Ukatibu Mkuu

    Kimeumana.wacha mtifuano uendelee mpaka kieleweke.bado wenyeviti
  6. mecki

    Uongozi wa UDOM wajibu madai ya kuwepo kunguni kwenye mabweni ya Wanafunzi

    Kwahiyo siku hizi kunguni wanakula viporo? nadhani mkurugenzi anachotaka kutuambia hapa ni kwamba nje ya kunguni na mende wamo wa kutosha. majibu mepesi kwa hoja za msingi yanaibua hoja nzito.
  7. mecki

    Kelele za kikanisa jirani na nyumba yangu

    Ibada ni kitu chema sana.ila kuna haja ya hizi nyumba za ibada kuweka utaratibu ufaao.usiku ibada ilenge waliomo mahala husika tu.kama ni fajir basi tukijiwekea utaratibu kuwa saa 11 ni ibada basi tutumie alarm kutuamsha.mbona tunawahi kazini bila kengele ya kazini? Mambo ya Mungu ndo...
  8. mecki

    Nani anayefundishwa uongozi na Humphrey Polepole?

    Ili umuekewe Polepole na ujengwe na elimu yake, sharti uwe neutral. Ukileta hisia za chama na itikadi utaona kero.vivva H P
  9. mecki

    Nani anayefundishwa uongozi na Humphrey Polepole?

    Mushi kuna namna utetezi wako kwa uli choandika unaangukia kuwa chuki binafsi na si ukosoaji wenye lengo la kuleta uchanya. lile ni darasa huru.mwenye talanta kamili kamwe hawezi kuificha,haizuiliki na haogopi maana kuna msukumo wa ndani. tunajifunza uzalendo,utaifa , uwajibikaji,uongozi na...
  10. mecki

    Duniani mashabiki wa soka wameruhusiwa huku Africa wamekatazwa

    viongozi wa CAF wanafanya kila jambo kuwarizisha wazungu. ukihoji sana watakuambia waafrika muitikio wa kuchanja ni mdogo. Hivyo inabidi wanyimwe uhuru.
  11. mecki

    Hongera Dkt. Charles Msonde, mbinu ulizotumia katika mitihani hii ya darasa la 7 ni zaidi ya TISS

    Tatizo linaanzia kwa watunzi. Ni ngumu mno kuondoa hili tatizo. Labda kulipunguza tu
  12. mecki

    BASATA yamfutia Usajili Msanii Dudubaya kwa kukataa wito wake

    Huyu dudu anachokitafuta bado hajakipata.akikipata tutajua
Back
Top Bottom