Recent content by me mtata

  1. me mtata

    Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Hadi sasa hakuna aliyethubutu kujibu, wanarukaruka tu na kuleta uoga waliopandikizwa na vitabu vilivyoandaliza na watu wa magharibi na mashariki ya kati.
  2. me mtata

    Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Maswali yamekuwa magumu kujibu.
  3. me mtata

    Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Nami nimerudi hapa. Wanaoamini wanasema mungu hujua nini tunachowaza na nini kitatokea. Kama alimuumba ibilisi ina maana alijua ibilisi atakuwa shetani, sasa kwanini alimuumba huyo ibilisi wakati kabisa alijua atakuwa shetani?
  4. me mtata

    Makosa 10 aliyotenda Mungu

    [emoji12] [emoji12] [emoji12]
  5. me mtata

    Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Slavery destroyed us RELIGIONS DIVIDED US Ignorance controls us And TRUTH scares us!!
  6. me mtata

    Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Mkuu umenena mambo ya msingi sana tatizo wanaoamini hujifanya kufumba jicho moja wasijiulize mambo haya wakati yako wazi kabisa.
  7. me mtata

    Nimeoa lakini napenda wanawake wanaojiuza

    Wakuu nashukuru sana kwa maoni yenu na ushauri mlionipa nimejifunza mengi. Nimegundua hili ni tatizo japokuwa wanaume wengi wapo hivi lakini ukweli ni tatizo ndomana hata wanaume wenzangu wameniambia nna tatizo. Kupitia maoni na ushauri wenu najiona mkosaji na kuanzia sasa naanza hatua za...
  8. me mtata

    Wanavyuo, kwanini huwa mnaona noma kutaja majumbani kwenu?

    Wewe njoo miji ya dhahabu uone matusi yani unaongelea mark x, subaru, alteza eti na vitz unahesabu gari. Huku hayo ni magari ya vijana wadogo ambao hawajashika dhahabu sawasawa. Unaawajua makota wewe? Mi nilitegemea uniambie lifti za Ferrari, Lamborghini, Chevrolet, GMC au Cadilarc. Wewe...
  9. me mtata

    Nimeoa lakini napenda wanawake wanaojiuza

    Kila siku nnayohitaji sitaweza kumchukua yeye tu
  10. me mtata

    Nimeoa lakini napenda wanawake wanaojiuza

    the pastor is absolutely correct! As a man I need sex and I'm always ready even if my wife is not ready. Waumini hawakubali [emoji25]
  11. me mtata

    Nimeoa lakini napenda wanawake wanaojiuza

    Lakini sifanyi kwa sifa wala sijionyeshi hata mtaa nnaoishi naonekana mwanaume mstaarabu na mpole. Asante kwa ushauri ntaufanyia jazi.
  12. me mtata

    Nimeoa lakini napenda wanawake wanaojiuza

    Ha haaaa... [emoji2] [emoji2] [emoji2] Hiyo sio sababu maranyingi nafanya kawaida japokuwa marachache hutokea lkn sio sababu kabisa
  13. me mtata

    Nimeoa lakini napenda wanawake wanaojiuza

    Binadam tuko tofauti [emoji4]
  14. me mtata

    Nimeoa lakini napenda wanawake wanaojiuza

    Mungu ni wetu sote
Back
Top Bottom