Recent content by mdy

  1. mdy

    Kwa aina hii ya vijana wa CHADEMA ni ndoto kuiondoa CCM Madarakani

    Kuna mwalimu wa siasa aliniambia siasa inaa mfumo wa kushambulia na kuzuia na ndio maana lowasa CDM walishindwa kuzuia wakiulizwa huyo si fisad?wao wanashambulia tu sasa ukirud nyuma clip zipo zao wenyew wakitaka fisad ashtakiwe
  2. mdy

    Magari ya polisi aliyokarabati Makonda yanazidi kumpa kiki

    wenye phd ndio wametufikisha hapa kuwa maskini maneno mengi tu bungeni na kugombana Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mdy

    Kwanini Mhe. Mbowe aliamua kubaki Dodoma siku Mhe. Lissu alipopigwa risasi wakati alitakiwa kuwepo Dar es Salaam

    eti kwani hawawezi kuwa majambazi tu wale ?hadi useme dereva wa roli panausiana na nini acha chuki Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mdy

    Tumedanganywa: Kumbe mikataba ya madini haitabadilishwa

    katoka ccm kaenda upinzani
  5. mdy

    Mkoa gani unaoongoza kwa Warembo Tz?..

    karatu .arumeru masharik .singid a.condoa.unguja.kilwa bagamoyo.
  6. mdy

    Tumedanganywa: Kumbe mikataba ya madini haitabadilishwa

    nilijiuliza sana kwanni wakorea na wachina wanaumoja ktk mataifa yao kwanza wazalendo .anatokea mtu anasema nyie wtz mnaibiwa wanatoka wapumbavu wanasema mwache aibe tu
  7. mdy

    Kaimu Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma, Naomba Usiruhusu Udhalilishaji Huu Ndani ya Mahakama Zetu!.

    Uzee si hoja na uneene kupigishwa kichuchura wtz mshaanza kutetea ila angekuwa mwizi wa simu sawa tu
  8. mdy

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    nchi hii wtz hata uwape nini hawaelewi lbda aje rais dogo kiduku awanyooshe sijui wanataka rais wa vp
  9. mdy

    Mtangazaji wa Efm Maulid Kitenge tumekuvumilia vya kutosha na sasa unatuchosha kama siyo kutuboa

    wp uliona dunian mshatoa maamuz alafu mnarudia tena alafu mnamwita mchezaji atoe ushahid na refa tena kuhusu card muulize kitenge au malinzi
  10. mdy

    Hongera Magufuli; ni Nyerere, Karume na Gaddafi pekee walifanya haya Africa

    wewe umeifanyia nini tz yako huko mtaan au kelele tu
  11. mdy

    Tutampataje Roma kwa kutumia namba zake za simu?

    vp ishu ya njaa imekwisha?cvyeti feki? cluosz?waziri wa michezo?bastora?ney wapo?uchaguzi wa wabunge east africa?tindulisu kuwa rahisi?mchanga na rangerovermitumba ?sasa hivii nani vile bendera fata upepo tuuuuuuuu
  12. mdy

    Je, ni nini tofauti kati ya SMG na AK-47?

    vema corola na vx zote ni gari tofaut uwezo wa injini .(utani kidogo ila chukua smg jaribu kujipiga haiuwi kbsa)
  13. mdy

    Makonda mnamchukulia poa, msikilize hapa akiongea kiingereza safi kabisa

    that gud so kwa tanzania sidhan kama kiingerza kinapatikana mtaani bila kusoma aidha somo husika au kwa mfano hesabu .sayans.dr.enginia .lazima itumike lugha ya kiingereza .hoja ya msingi humu ndani nani anajua elimu ya makonda na ngwajima?
  14. mdy

    Hivi CHADEMA kuna Demokrasia kweli? kama hakuna hata Mabadiliko ya Mwenyekiti!!!

    taizo moja naliona kuna kukabidhiwa chama kwa mfumo wa kijiti yaa kura alafu kuna kurithishwa chama kutoka kwa mwenyechama kwa mfano kati ya sefu na lipumba nani karithishwa chama lakini lzma tujue ni nani alikuwa katika mchakato wa mbowe kupewa uenyekiti ?hakuna uliona wapi uchaguzi upo kwa...
  15. mdy

    Hivi CHADEMA kuna Demokrasia kweli? kama hakuna hata Mabadiliko ya Mwenyekiti!!!

    katiba ya chadema inasemaje nafasi ya mwenyekiti ni muda gani tunasubir jibu tumeona katibu mkuu ulifanyika uchaguzi pale ubungo
Back
Top Bottom