Recent content by Mdusi94

  1. M

    JamiiForums Tanzania Samia Usitumie kodi za wananchi kujenga msikiti Arusha.

    Magufuri hakutumia pesa za umma yaan mapato ya serikali bali alichangisha kanisani ili wakawasaidie waislam Kutoa pesa kwenye mfuko wa umma kutaferisha sekta fulan
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mashine ya selcom inauzwa used

    bei
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia hii ramani lazima utawasupport Israel wako sahihi

    hakuna watu wanaitwa wapalestina , Palestina ni jina la kikolon sio asili ya watu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Selemani Mwalimu kwenda Yanga ni uhitaji wa mahitaji ya team au ni kumkomoa mtani?

    ukute MoDewji aliaminishwa usahili wa Suleiman umefikia pazur
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume unaweza kudate na mwanamke above 25 years ambaye hana kazi wala chochote anachojishughulisha nacho?

    miaka 25 huyu ngumu kumbadilisha , acha kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chura
  6. M

    JamiiForums Tanzania Miaka 5 ya Samia madarakani ametekeleza miradi mikubwa mingi kuliko Rais yeyote wa kabla yake

    maelezo yote hayo yana mfano hata mmoja?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Miaka 5 ya Samia madarakani ametekeleza miradi mikubwa mingi kuliko Rais yeyote wa kabla yake

    maelezo mengi hayana mifano Hata mim naeza sema nmefanya mirad ming sana
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi wa Hali ya Hewa Waonya kwamba EL-Nino Itakayotokea Mwaka Huu Itakuwa Mbaya kuliko Zote Zilizowahi Tokea hapa Duniani

    hii post itawafanya watu wasilime kisha itatokea artificial El Nino iliyochombezwa na hofu ya hiz habari
  9. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Taratibu za kupata Samia Scholarship zipoje? Iweje nipate division ya 1.5 nikose na wenye 1.9 wapate?

    hela inatolewa mfuko gan ? mfuko wa rais au mfuko wa kodi zetu?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Saddam Hussein alikuwa ni Dikteta mwenye faida kwa nchi yake

    ttzo la Iraq , Syria na Libya ni hao hao mnaowasifu maana waliona vita ni nzur kuliko kupisha madarakan ili wananchi wasiteseke Ona sasa upumbav wao unawacost wairaq , wasyria na walibya mpk leo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Senegal: Rais Faye azindua rasmi chama chake kipya, Wanachama wa Sonko sasa wanakimbilia kwa Faye

    akil za mtu mweus ni majanga Aya tupe ushahidi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Senegal: Rais Faye azindua rasmi chama chake kipya, Wanachama wa Sonko sasa wanakimbilia kwa Faye

    wew kuna kitu unachanganya , aliyekuwa jela ni huyo wazir mkuu aliyetolewa na yeye Sonko ndo akaamua kumpa kijiti msaidiz wake Faye agombee urais kisha Faye akashinda na aliposhinda wazir mkuu wake akawa Sonko ila baadae wakatofautiana maana Sonko anaamin hiyo nafas ya urais ni yake na Faye...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Senegal: Rais Faye azindua rasmi chama chake kipya, Wanachama wa Sonko sasa wanakimbilia kwa Faye

    mifumo tumeilea sisi wenyew Uoga mwingi na kutamana kuish kinyonge Wasenegal hawachelew kukiwasha na washapitia hii hatua tyr
Back
Top Bottom