Kuanza kufikiri ni Wachezaji wangapi ndani ya Stars wanatokea Simba, Yanga, Azam nk, ili kupata uhalali wakina Nani wanaunda Stars utakua ukosea Sana, na ikiwa kweli Watanzania wote hapo Jana wangefikir kama wew basi ni hakika hamasa ingekua ni hafifu na pengine tusingeweza kupata matokeo...