Recent content by Mdumangee

  1. Mdumangee

    Hivi decoder strong 4922 mpya bei gani ?

    Wajameni nimevutiwa sana na features za Strong 4922 ila cjapata jua bei ya mpya na original, , Help me jaman ntafute kabla nshahara kwisha
  2. Mdumangee

    Tayari Nshapata Cheq Namba,, Wakupika Vyakula Vyaasili Anatafutwa

    Mbona coni PM jamani,, 33 zilipo hazitoshi jamani
  3. Mdumangee

    Natafuta mume

    kwii,,kwii,,kwii,,!!! yaaani Koku kwa kweli nakudai mbavu zangu,,,4ril muhaya axee
  4. Mdumangee

    Natafuta mchumba

    Recho Jonasi noumer,,,, kwi, kwi, kwii,,!! kamata fursa twenzetu
  5. Mdumangee

    Tayari Nshapata Cheq Namba,, Wakupika Vyakula Vyaasili Anatafutwa

    PM PM PM,,, wahi wahi nafas ni chahee
  6. Mdumangee

    Tayari Nshapata Cheq Namba,, Wakupika Vyakula Vyaasili Anatafutwa

    Sio uulzeulize miswali mingi PM km unajua kupakua
  7. Mdumangee

    Umri umefika, nahitaji mume mcha mungu

    ungekua unakubali kuja huku nlikoajiriwa mie ningekubali,, tena ungepata na kazi hukuhuku
  8. Mdumangee

    Tayari Nshapata Cheq Namba,, Wakupika Vyakula Vyaasili Anatafutwa

    Afu wee matola ww,! nani tutusa, una chek namba kwanza? kauze viepe huko
  9. Mdumangee

    Tayari Nshapata Cheq Namba,, Wakupika Vyakula Vyaasili Anatafutwa

    Acheni mineno mingi, PM co mineno mineno2
  10. Mdumangee

    Tayari Nshapata Cheq Namba,, Wakupika Vyakula Vyaasili Anatafutwa

    wee PM acha kerere zako km chiriku kwa mtu wa chek no.
  11. Mdumangee

    Tayari Nshapata Cheq Namba,, Wakupika Vyakula Vyaasili Anatafutwa

    Nimenyanyasika sana na mapenzi yote kisa sina kazi.Nshapata Cheq namba tayari na nimeanzia TGTS G. Yule binti kigori mbichimbichi chiken chiken ani PM tuchek utaratibu wakukaa ndani kidogo kupikapika vyote vya bed na jikon vya jikoni ni dona, rost rost fishes na vingne vya asili ila mabaga...
  12. Mdumangee

    Anayeuza Line ya tGO-Pesa

    natafuta Line ya tGO pesa ya bei nafuu nicheki kwa 0712 667 669
Back
Top Bottom