Wasalaam wataalam,
Mtoto wangu mpendwa ana miezi nane ila mpaka sasa hajakaza kukaa mwenyewe kabisa ana uwezo wa kukaa dk mbili mpaka tano baada ya hapo anaanguka.
Ndugu zanguni napata msongo Mkubwa wa mawazo kutokana na hali yake je ni kawaida au vp?
NB: Alipata changamoto wakati anazaliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.