Recent content by Mdonyo Lengai

  1. M

    JamiiForums Tanzania Story behind your date of birth

    Hi kitu ni kweli kabisa mi namba 3..na ninapenda culture sana kama ilivojieleza..big up
  2. M

    JamiiForums Tanzania Umaarufu wa CHADEMA washuka

    tofaut kati ya -------- na mwerevu..Wapumbavu pia wana haki kusema wanachojua,lakini waerevu wanadadisi kabla ya kusema
  3. M

    JamiiForums Tanzania umeelewa nin katika picha hii???

    Kuna mwanamke nlikua nae mwanzo wa uhusiano wetu alikuwa anasema hapendi pesa kbs kwa mwanaume,eti yeye anapendaga kweli na kiukweli hakuwai kuniomba pesa ,kumbe alikua anafanya uchunguzi wa kipato changu cku ya cku alianza minzinga hadi nikakimbia
  4. M

    JamiiForums Tanzania Umri gani ulianza kujitegemea yaani uliondoka nyumbani kwa wazazi

    Nina 25 yrs najipanga namaliza chuo june..baada ya hapo nahamisha jeshi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi hodi wanajamii

    Naombeni mnipokee mwanajamii mwenzenu ..shukrani
  6. M

    JamiiForums Tanzania Juma Nkamia: Nazungumza na Mwenye Mbwa sio Mbwa!

    Kwaio wote ni mbwa tu,ni kama ametukana bunge lote wanaloliita tukufu
Back
Top Bottom