Pesa hana mkuu.
Ndio mana kakiwasha
kaja kushtuka asubui kuwa alikuwa Mbunge kabla kuteuliwa kuwa Balozi Malawi
sasa wenzie wamepata kiinua mgongo chao japo wanaweza kukusanya kijiji wakapokewa kishujaa
yeye kajikuta yupo O
kuvumilia kashindwa baada watu wabaya kumjaza...
Walokole na maono yao yenye kupendelea mawazo yao. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN 25 - 30 A punguzenu kuota mchana B punguzeni kudanganyika,, CCM CCM CCM CCM NI DUDEEEEE KUBWAAAA
Uyo jamaa kazikwa tayali ¿
lkn walikuwa wamemueka kwenye mashine akiwa ajitambui yupo kwenye koma! kwamiaka mingi
mwisho Mafunza wakaanza kumtoka ndani ya mwili wake wakimtafuna.
Wakarusha taulo na kumfukia au kumzika chap chap.
Sio kweli mkuu. Wayahudi kivyovyote number y 6million ni ndoto kwa miaka Ile. Unajua Leo iyo Israel baada ya kukusanyana kila kona na kuongeza 0 bado wapo wangapi???
kwako umeona kuna nondo tu pole mbona utoto tupu kwanini iyo Services anapendekeza iyanzie awamu ya 6 ¿
kwann awamu y5 yeye alikuwa wapi kushauri jambo ili wakati alikuwa CCM kama kiongoz ¿
Leo ndio anajua kuwa ni zuri wkt yupo nje ya Games ndio anashauri¿¿¿¿¿
Nondo wapi kaulizwa swali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.