Recent content by mdoghosho

  1. M

    Kwa dua na laana hizi, Israel mwisho wake unakaribia

    Sasa hivi inayotawala dunia ni nini?
  2. M

    COVAX: Mpango wa Chanjo ya Covid-19 wa Bill Gates na mke wake

    Aliyeunda chanjo ya Polio na Surua si mzungu huyohuyo anayetuchukia watu weusi na anataka kutuua? Sasa iweje awe na mission nzuri ya kuokoa maisha ya infants wa kiafrika kwa Surua, halafu mzungu huyohuyo awe na mission mbaya ya kuwaua waafrika kwa korona? Does this even make sense to you...
  3. M

    COVAX: Mpango wa Chanjo ya Covid-19 wa Bill Gates na mke wake

    Wewe umequote swali langu. Maana yake, mimi ndiye wa kwanza kuuliza. Sasa unaqoute swali langu,badala ya kulijibu hilo swali unauliza swali lako hapohapo halafu unataka mimi nikujibu. Umeona shida gani kujibu swali langu ambalo ndilo la kwanza kuulizwa? Au unaliogopa?
  4. M

    COVAX: Mpango wa Chanjo ya Covid-19 wa Bill Gates na mke wake

    Sasa nijibu maswali yako wakati wewe umekuta swali langu hapo na hutaki kulijibu! Ebo!!!
  5. M

    COVAX: Mpango wa Chanjo ya Covid-19 wa Bill Gates na mke wake

    Bwana Kivumishi Elekezi, mimi nataka kukuuliza swali. Wewe hapo umechanjwa Chanjo ya Polio na Surua?
  6. M

    COVAX: Mpango wa Chanjo ya Covid-19 wa Bill Gates na mke wake

    C'mon... Usikimbie maswali. JIBU NILICHOKUULIZA kwa hoja kama unaamini unachokitetea. Nimekuuliza, kama wazungu wanataka kutuua (kama mlivyoaminishwa), Kwanini wasingetuua kwenye Chanjo ya Polio,Surua,Tb,Homa ya manjano? Toka tumepata uhuru 1961,Kila mtoto anayezaliwa hapa TZ anachanjwa...
  7. M

    COVAX: Mpango wa Chanjo ya Covid-19 wa Bill Gates na mke wake

    Mtu mweusi aangamizwe na nani? Na kwa nini? Hivi mtu mweusi ni tishio kwa nani duniani mpaka atake kuangamizwa? Mbona mnakuwa wajinga hivi nyie watu???? Hivi hao wazungu wangetaka kuwaua watu weusi (kama mnavyoaminishwa) walikuwa na haja gani kusubiri chanjo ya korona ya mwaka 2020/2021? Kama...
  8. M

    CHADEMA tayari kuuwasha moto. Arusha mpo?

    Hizo zama zimeshapita...Amka usingizini, Hii ni awamu ya 6 na rais wa Tanzania anaitwa Samia Suluhu na yeye si muumini wa hizo siasa unazohubiri hapa.
  9. M

    Kamati ya Corona: Serikali itoe taarifa uwepo wa Ugonjwa wa COVID-19 na kuruhusu matumizi huru ya chanjo

    Usilalamike sana...Unaonaje ukahama nchi tu ili upunguze kero?
  10. M

    Naona Habari za Israel ndio trending kwa sasa kwenye jukwaa hili

    Kwa hiyo Torati(hiyo old Testament mnayoiamini) Haikuwa kwa ajili ya Waislam?
  11. M

    Naona Habari za Israel ndio trending kwa sasa kwenye jukwaa hili

    Okay...So umesema Musa alipewa Amri awape Wayahudi. Hizo Amri ambazo Musa alipewa awape wayahudi, YEYE MWENYEWE ALIZISHIKA au HAKUZISHIKA?
  12. M

    Naona Habari za Israel ndio trending kwa sasa kwenye jukwaa hili

    GOOOOOOD. Umesema Sabato ilikuwa kwa Jews tu. Sasa, Nabii Musa ambaye alikuwa myahudi (kwa mujibu wa Old Testament), Je ALIIFUATA SABATO au HAKUIFUATA SABATO? au nikubadilishie swali: Kwa mujibu wa "Old Testament ", Nabii Musa ALISHIKA AMRI 10 ZA MUNGU AU HAKUZISHIKA?
Back
Top Bottom