COVAX: Mpango wa Chanjo ya Covid-19 wa Bill Gates na mke wake

Sasa kwanini wasianzwe wanajeshi? SI ndio tunaaminishwa wao ndio Mashujaa wa nchi pamoja kuwa ndio wenye uwezo wa kukabiliana na hatari yoyote?
Mapaka matufali wanavunjiana mwilini sifikiri kama kijishindano cha chanjo kitawaathiri kiivo

Waaznwe wao tu
 
Kuna watu unatamani kuwapopoa mawe haki kweli
Huyo mnamuita sijui flav nani sijui ni mnafiki mkubwa
Hawa ndio walikuwa wakijibebesha wakati wa mwendazake corona haipo nyo ko nyo ko leo wamepata mchongo wako sayansi eti sayansi
Viongozi wa Africa mlilogwa
Sio kila chanjo ni chanjo kuweni makini na hizi chanjo watu watachomwa maji waambiwe ni chanjo
Covax ni chanjo au ni
Leteni chanjo za uhakika sio za majaribio
 
Bado kuna wasaliti wanaodanganywa kwa kipande cha mkate.
Yaani unataka kudhoofisha watetezi wa wananchi.
Eti:- uanze kuchanja wanajeshi tutalindwa na nani kama chanjo ikienda vibaya!?

Eti:- uchanje viongozi wa dini huu ni ushetani wa yule mnyama 666. Viongozi wa dini ndio wanaoleta amani katika nchi kuwaua viongozi wa dini ni kuondoa amani nchini. Nchi inakuwa chini ya ulizi wa UN na mapigano hayatakuwa na mwisho. Huu ni ushetani

Eti:- uchanje wahudumu wa wafya. Maana yake wahudumu wote watakufa hatutakuwa na wahudumu wa afya. Nchi itakuwa maskini wa kutupwa. Magonjwa yataongezeka, NGO zitatamalaki kutoa misaada ya chakula. Tutakuwa nchi ya ovyo duniani.

Bill Gates kaachana na mke wake ni dalili tosha kuwa Bill Gates anachokifanya ni ushetani. Mke wake kaamua kuachana na ushetani huo.

Tukatae kuwa sehemu ya Bill Gate plan kama mke wake walivyokataa.
To be frank, wewe jamaa ni mjinga
 
Dawa zote mnachukua nje kwanini msitengeneze ARV zenu na chanjo zenu za kifua kikuu ,tb,polio badala mnazikimbilia za hao mabeberu ..Kama hizi dawa na chanjo mmeshindwa kutengeneza kwa ukilaza wenu mtatwngeneza chanzo za Corona labda mchanganye muarubaini na mitishamba ndio uwezo wenu

Dawa karibia zote pharmacy na mahospitalini ni za kutoka nje hlafu leo hii unataka kujitia kiburi utengeneze chanjo ya ugonjwa sumbufu wa Corona?
Siku ukila nauli ndo utajua kuwa kumbe hata kwa mguu unaeza fika na gari utaliona kuwa unapoteza hela yako bure
 
Bado kuna wasaliti wanaodanganywa kwa kipande cha mkate.
Yaani unataka kudhoofisha watetezi wa wananchi.
Eti:- uanze kuchanja wanajeshi tutalindwa na nani kama chanjo ikienda vibaya!?

Eti:- uchanje viongozi wa dini huu ni ushetani wa yule mnyama 666. Viongozi wa dini ndio wanaoleta amani katika nchi kuwaua viongozi wa dini ni kuondoa amani nchini. Nchi inakuwa chini ya ulizi wa UN na mapigano hayatakuwa na mwisho. Huu ni ushetani

Eti:- uchanje wahudumu wa wafya. Maana yake wahudumu wote watakufa hatutakuwa na wahudumu wa afya. Nchi itakuwa maskini wa kutupwa. Magonjwa yataongezeka, NGO zitatamalaki kutoa misaada ya chakula. Tutakuwa nchi ya ovyo duniani.

Bill Gates kaachana na mke wake ni dalili tosha kuwa Bill Gates anachokifanya ni ushetani. Mke wake kaamua kuachana na ushetani huo.

Tukatae kuwa sehemu ya Bill Gate plan kama mke wake walivyokataa.
Umenena vyema. Yaani Kamati ya COVID 19 inashauri tuanze kuchanja wanajeshi chanjo ya majaribio. Je, chanjo ikienda kombo kwao. Taifa liangamie. Wataalamu wa afya nao wakidhurika NGO zitamalaki kutuletea wa kututibu n.k. Kweli, ndio maana Maprofesa na wasomi wengine wamadhihakiwa siku hizi.
 
Jana hawa watalaamu walitoa ripoti yao.

Niliisikiliza mpaka mwisho. Wenyewe wanajiita wataalamu lakini ripoti yao haikuwa ya kitaalam.

Hawakutueleza uchambuzi wowote kuhusu baada ya mwaka mzima kutokuwa na lockdown na kutokuvaa barakoa hasara zipi tumepata na faida zipi tumepata!?

Wamerukia tu kwenye conclusion na kutoa ushauri kwamba tutumie chajo ya Bill Gates. Bila kupepesa macho kabisa hawa jamaa wamekula pesa ndefu.

Suggestions zilizotolewa ni kupigwa chanjo wanajeshi!? This is serious war. Yaani unapiga chanjo wanajeshi wote!? Ikiwa chanjo hiyo inamadhara maana yake Tanzania haitakuwa na jeshi. This is big risk.

Chanjo huwa zinachukua miaka na kufanyiwa majaribio mengi mno.

Bill Gates ni mfanyabiashara yeye anachoangalia faida.

Kuna madini ya Nickel yaliyopo Kabanga na Simiyu lengo lao watoe hiyo chanjo na wachimbe madini yetu. Kwaajili ya EV na Research kwenda kwenye sayari zingine.

HII HAIKUBALIKI HATA SIKU MOJA SISI RAIA SIYO WAPUMBAVU KIASI HICHO.

Wanataka kutufanya kuwa sehemu ya majaribio kwa manufaa yao ya kifedha.

WATANZANIA TUKATAE CHANJO. TUTENGENEZE YA KWETU.
Hiyo ripoti ni magumashi tupu haina ushahidi wowote wenye mashiko kufikia uamuzi wa kushauri serikali kujiunga na kampuni ya 'COVAX' ili ifaidike na msaada wa dawa za chanjo dhidi ya UVIKO.

Utajapo jina 'Bill Gates' ambaye siku si nyingi H.Kigwangala alionekana kwenye mtandao amepiga picha akila chakula na huyo tajiri ni dhahiri mkakati ulikuwa wa muda mrefu na wamekula hela ndefu bila kujali athari watakazopata waTanzania.

Bill Gates is a talk of the talks everywhere across the globe, and he knows what he is up to and not humanitarian commitment as it is being propagated.
 
sij
Jana hawa watalaamu walitoa ripoti yao.

Niliisikiliza mpaka mwisho. Wenyewe wanajiita wataalamu lakini ripoti yao haikuwa ya kitaalam.

Hawakutueleza uchambuzi wowote kuhusu baada ya mwaka mzima kutokuwa na lockdown na kutokuvaa barakoa hasara zipi tumepata na faida zipi tumepata!?

Wamerukia tu kwenye conclusion na kutoa ushauri kwamba tutumie chajo ya Bill Gates. Bila kupepesa macho kabisa hawa jamaa wamekula pesa ndefu.

Suggestions zilizotolewa ni kupigwa chanjo wanajeshi!? This is serious war. Yaani unapiga chanjo wanajeshi wote!? Ikiwa chanjo hiyo inamadhara maana yake Tanzania haitakuwa na jeshi. This is big risk.

Chanjo huwa zinachukua miaka na kufanyiwa majaribio mengi mno.

Bill Gates ni mfanyabiashara yeye anachoangalia faida.

Kuna madini ya Nickel yaliyopo Kabanga na Simiyu lengo lao watoe hiyo chanjo na wachimbe madini yetu. Kwaajili ya EV na Research kwenda kwenye sayari zingine.

HII HAIKUBALIKI HATA SIKU MOJA SISI RAIA SIYO WAPUMBAVU KIASI HICHO.

Wanataka kutufanya kuwa sehemu ya majaribio kwa manufaa yao ya kifedha.

WATANZANIA TUKATAE CHANJO. TUTENGENEZE YA
Sijawahi kua na Imani na huyu jamaa anajiita Bill.
 
Sina uhakika kama hiyo ni tume kwa maana uwezo wa kutoa ushauri wa kisheria. Je, hiyo kamati ilikuwa na mjumbe Jaji ili uamuzi kutokana na walichokifanya kikubalike kisheria. Kama wajumbe walikuwa ni madaktari na wanasiasa kutoka wizara ya mambo ya nje hapo limezalishwa balaa la kufa mtu. Eti umdunge chanjo tata ya UVIKO mwanajeshi, mfanyakazi wa afya, kizembekizembe tu hivyo?

Endapo baada ya tu kupewa chanjo hao wanajeshi waliotajwa, mmoja tu akapata tatizo ambalo wanaaminishwa halitatokea basi wenye dhamana wabebe msalaba sawia kwa kuwajibika
 
Vile tunaiamini COVAX yetu!😄😄😄
10e10.png
098765rdx.jpg
 
Wenye dhamana katika dunia ya sasa ni watu wenye fedha kama Bil Gate na Maraisi wa nchi. Mliobaki hamna thamani
Kama unataka kuona ulichoandika ni upumbavu. Kesho ingia barabarani uandamane uone kitakachokutokea.
Kujadili kuhusu chanjo ya Bil Gate kwangu ni km napoteza muda tu. Hakuna anayekusikiliza.
Mzee kwa habari ya shule wala huwezi hata kunigusa. Cha msingi hapa tunaongelea chanjo ya Bill Gates na Mke wake. Tujikite kuongelea hapo. Mipasho ya akina Khadija Koppa peleka Zanzibar.

Hapa tunaongea serious issue mzee.
 
Kelele huwa zinapigwa na watu wanaotumia simu za Itel. Umekula maharagwe yako sijui ya lini halafu unajiona umetoa uzi wa maana sana tena kwa ID fake.
Ukitaka kuona kama ulichoandika ni kelele, uzi huu u-post Facebook, WhatsApp na Twitter ndiyo uone unavyopiga kelele. Kesho ingia barabarani uandamane. Uone kitakachokutokea.
Mzee mipasho waachie akina khadija koppa.

Usitupigie kelele za akina abber luti
 
Back
Top Bottom