Recent content by Mdoe1

  1. M

    Nipeni ushauri: Mke wangu ameninunia kwa miezi saba sasa. Navumilia tu hata sijui mwisho wake

    Talaka ya nn? Akaanzishe familia ingine sehem ingine ... Kwa mnunaji anakaa wiki 1 Kila mwezi,l KWINGINE Wiki 3 Kila mwezi. Akitaka takala anapewa anasepa zake. Full stop
  2. M

    DOKEZO Responded Walimu Mkoani Mwanza wafanya Mafunzo ya Mtaala Mpya bila Posho

    Si ndo uzalendo kwa Taifa lenu? Acheni Njaa, Tangulieni Utaifa Mbele
  3. M

    Nahitaji dada wa usafi wa nyumbani

    Achana nao Mkuu. Watakupasua kichwa Bure. 😄
  4. M

    Kituo cha TV cha Ukraine chamfichua mtoto wa nje wa Vladimir Putin anayeishi Paris Ufaransa kama DJ

    Hata Marehemu Lowasa Tuliaminishwa ana Mtoto wa Nje. Propaganda tu hizi
  5. M

    Vipi Mdau, Ukiona sign gani kwenye mahusiano ya kimapenzi unajua hapa hatufiki mbali?

    Akiwa na Best Friend Mwanaume, .... Tunapeana Thank You
  6. M

    Askari wanne wafukuzwa kazi kwa kufuta picha za kwenye kamera ya mwendokasi

    Polisi ni wahuni ila wa Mwanga walizidi aisee. Hata utoke njiapanda na speed 30 mpaka mwanga, ukifika picha ya speed zaidi ya 50 lazima ikuhusu. Labda muwe msafara wa Magari zaidi ya Moja
Back
Top Bottom