Recent content by mdk2012

  1. mdk2012

    Ni Jasiri Haachi Asili au La Kuvunda Halina Ubani?

    huo ni uchochezi, mh nape upo?
  2. mdk2012

    Freeman Mbowe jitokeze kuthibitisha kuwa kampuni yako ya Mbowe Hotels ipo kihalali na inalipa kodi

    wewe kama nani ufichue madudu ya mbowe, kama siyo uchochezi huo nini? wanaopaswa kulalamika au kufuatilia mambo ya kodi ni TRA siyo wewe unayedandia gari ambalo hata hulijui, wahindi ni wakwepaji wakubwa sana wa kodi kwa kubadilisha nyaraka za mapato, mbona hamuwafatilii, unayemwona ni mbowe tu...
  3. mdk2012

    Katuni inasema: Kwanini hajaingia pale?

    mimi siongei tuwaachie wenyewe waje waseme
  4. mdk2012

    MWANZA: Mkurugenzi wa Wilaya ya Misungwi afafanua kuhusu tuhuma za kumdhalilisha Mwalimu

    very sory, habari ni nyeupe hakuna mfano, mwandishi anatakiwa aende intensive trainning coures ya kuandika report, hii ni aibu kubwa, afisa mawasiliano msaidizi. shame!!!!!! upon you
  5. mdk2012

    Kauli ya rais inaiweka wapi kampeni ya "Baki Njia Kuu, Michepuko sio Dili?

    wasukuma na waaramo ni watani wa jadi, kwa hiyo usishangae sana hiyo kauli ya mh rais ilikuja tu automatically kuwapiga dongo watani, ni mambo ya kawaida sana kwenye misiba, labda kama kabila lako halina watani.
  6. mdk2012

    Dinner

    hiyo ni mtwara baba, hakuna kinachotupwa, isipokuwa manyoya tu
  7. mdk2012

    Sina hamu ya kuwa na mpenzi kabisa

    angalia kuna jini mahaba kakuingia ndiyo maana unamchukia mpenzi wako, nenda kanisani kaombewe litoke hilo jini mahaba
  8. mdk2012

    Mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!

    piga keleleeee! hawa si ndiyo wale wanaopatikana buguruni sewa
  9. mdk2012

    Rais kutekeleza agizo lako la kukamata wasiofanya kazi, anza na Polepole!

    jamani mimi naomba kujua professional ya huyu jamaa plus cv yake, nilimheshimu sana kipindi cha bunge la katiba mpya alivyokuwa anatoa madongo kutetea maoni ya wananchi yaliyoachwa, kumbe ni mganga njaa, hana lolote, kaja kuharibu sana mwishoni wakati wa uchaguzi, nahisi sasa anajaribu...
  10. mdk2012

    TUCTA na Vyama vya Wafanyakazi, huu ndo muda wa kutetea wafanyakazi. Acheni kuwa mabubu, hali mbaya

    mtoa mada naona hakumwelewa vizuri rais JPM, ni kwamba yeye anataka kubalance mtu anayepata mshahara mkubwa sana na yule anayepata mshahara kiduchu, atashusha kiwango cha mshahara kwa watu wanaolipwa mfano milioni 40, na atawaongeza wanaopata mfano laki tatu kwa mwezi ili kuwe na uwiano...
  11. mdk2012

    Uchungu

    :oops::oops::oops::oops::oops: kweli? mie simo napita tu
  12. mdk2012

    Ukiona picha hizi zinakukumbusha nini

    hivi vitu vinanikumbusha mbali sana huko kijijini kwetu, enzi hizo maisha yalikuwa rahisi sana, vyakula vingi, nyumbani siku wakipika wali watoto hamlali mapema, hadithi nyingi mpaka mnapiga hizo punje
  13. mdk2012

    Ndugu wa mgonjwa ampiga Daktari Mtwara,Madaktari waanzisha mgomo

    hii habari ya pili kweli ninaweza ridhika nayo kidogo, ina ukweli ndani yake
  14. mdk2012

    Ndugu wa mgonjwa ampiga Daktari Mtwara,Madaktari waanzisha mgomo

    huyu mwandishi aliyepost hii habari ina mapungufu kidogo, kwanza yule mgonjwa alivunjika taya na wala siyo mguu kama alivyoandikwa, pili tusiangalie upande mmoja tu wa daktari kupigwa, lazima tujaribu kuhoji kwa nini alipigwa, inawezekana matatizo yapo pande zote mbili, na kitu kinachoponza ni...
  15. mdk2012

    Maprofesa wa Tanzania,hawafundishi lakini wanataka waendelee kuitwa maprofesa

    je professor maji marefu naye anachukua nafasi gani hapa wadau?
Back
Top Bottom