Recent content by Mdemalafu

  1. M

    Hayati Magufuli alijua haya hata kabla ya ujio wa DP World

    Na wasiwasi na upeo wako, vile vile ni mbinasfi. Watangulizi wangepigania familia zao leo hata hiyo familia unayotaka kuipigania isingekuwa hapo. Kupigania familia ni pamoja na kulinda rasilimali zetu kwa faida sasa na vizazi vijavyo.
  2. M

    Wanasheria tusaidieni kufungua kesi mahakamani ili mikataba yote ya rasilimali zetu ambayo Rais Samia kasaini na wageni ipelekwe bungeni

    Mbaya zaidi rasilimali zinazoshambuliwa ni za Tanganyika, baada ya hapo mtu anaenda kutulia zake Kizmkazi, wqtanganyika watabaki wanahaha wenyewe na kulaumiana na viongozi watanganyika waliokuwa na nanafasi wakati wa ushambuliaji wa rasilimali hizo.
  3. M

    Tundu Lissu aibua madai ya uwepo wa mikataba mingine kati ya Tanzania na UAE

    Raisi aondolewe kinda ya kushtakiwa ili awajibike kwa uvunjaji wa sheria
  4. M

    Askofu Nyaisonga: Mkataba wa Bandari ulivyo unatoa mamlaka yote ya kiuchumi na uendeshaji kwa wageni

    Hivi huwa hamjionei aibu mioyoni mwenu?? Kama sivyo basi Mungu awasaidie kuwa na upeo walau hata kidogo.
  5. M

    Watu maarufu waliokufa lakini wanaaminika kuwa hai

    Hahahaaa Jamaa alizikwa nchi za ng'ambo
  6. M

    Tetesi: Machache aliyonieleza mfanyakazi wa TPA yana ukweli?

    Umeandika kwa uchungu sana nimesoma neno kwa neno line by line
  7. M

    Tulia na mambo ya Bandari

    Ili kulinda heshima ya raisi; waziri Makame Mbarawa angejihudhuru uwaziri kwa maslahi ya nchi, ili raisi apate mwanya wa kuupiga chini mkataba. Kesi inakuwa imeishia hapo. Ila kuendelea kung'ang'ana na kitu ambacho kimeonekana kina mapungufu makubwa ya wazi na bado watu wamekaza shingo, haileti...
  8. M

    Nape Nnauye aendelea kuhujumu vyombo vya Habari, Amzuia John Mrema kwenye kipindi cha Ajenda

    Duniani tunapita..utafanya chochote utakacho kutokana na mamlaka yako lkn hata ufanyaje kunasiku utaiacha hiyo nafasi watashika wengine, utaiba fedha nyingii lkn weza kula pipa la chakula pekeyako, utajenga majumba ya kifahari lakini utalala chuma kimoja kitanda kimoja. Hata ufanyaje. Lazima...
  9. M

    Watu wangeshupalia suala la Katiba Mpya kama hili la Bandari tungefika mbali

    Swala bandari ni kubwa zaidi ya jatiba. Kwani hujashuhudia kwa katiba hii hii tu watawqla wanaikanyaga?? Hivi jiulize DP Word tumempa haki ya kuwekeza bandari zote za bahari na maziwa, bandari kavu na njia za uchukuzi?? Eti kukiwa na fursa ajulishwe yeye kwanza, hapo kuna fair competition...
  10. M

    Leo jioni nimepanda mwendokasi baada ya kupata breakdown lakini kilichonitokea aisee wanawake hizo nywele muwe mnaosha

    Na wewe inaonesha ni mtoto wa mama sana. Watu wametoka michakatoni na kila mtu na shughuli anayoifanya, wametoka jasho siku nzima ikiwa pamoja na kichwa, sasa mida hiyo ulitaka anukie???
Back
Top Bottom