Recent content by Mdau tu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Music production

    Natafuta mtu wa kufundisha mdogo wangu music production Dodoma aniachie namba
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kuhusu Masomo na Muziki

    Wadau habari zenu nimerudi tena, ndugu yenu nimepata zari wakubwa. Nimepata chance ya kufundishwa production ya mziki na producer mkubwa sana tu hapa bongo kama nilivowaambiaga nna tatizo la bipolar ila mziki ni kitu ambacho nimekifanya kwa mda mrefu bila kujali tatizo hilo tofauti na harakati...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upweke huu ni hatari…

    Kaza wewe
  4. M

    JamiiForums Tanzania App

    Namnanisha maswali gani common huweze kuyajibu
  5. M

    JamiiForums Tanzania App

    Ukitaka kutengeneza application unatakiwa ujibu maswali mangapi kupitia iyo app Yako unayotaka kutengeneza na kujiridhisha kwamba inafit
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nakosa mood na ari ya kuendelea na masomo, naombeni msaada wa kimawazo

    Daktari nawasiliana nae ila bongo kwenye afya akili Bado hawapo serious
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nakosa mood na ari ya kuendelea na masomo, naombeni msaada wa kimawazo

    Hello guys wa jf tumekua tukishauriana vingi na nilitamani tena mnipe mawazo. Nipo chuo diploma ya kwanza IT chuo Fulani Nina umri wa miaka 20 ila kadri siku zinavozidi kwenda sio siri napoteza muamko na kusoma na Kuna changamoto ambazo ninazo binafsi za kiafya ambazo ni ngumu kuajiriwa au...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo mnadani

    Nataka niwe nafungua balo za nguo zozote nahesabi idadi ya pic zilizopo then namgei uyo mtu akauze na kuhusu mnada nataka uwe mnada wa kutembea maan kuna wanaotembea na minada unakuta kwenye wiki mtu kaenda ata minada mi4
  9. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo mnadani

    Habari zenu wadau naimani mungu Bado anatueka salama Leo nimekuja naombeni ushauri kuhusu biashara ya kuuza nguo minadani Kwa kufungua baloo kabisa je itanilipa nimepanga kumuajiri mtu awe anatembea na mnadani Ani Kwa wiki aweze kwenda minada ata mi4 je hii itanilipa wadau tupo apa kusaidiana...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kwa kina kuhusu biashara ya juice

    Niko Dodoma nilikuwa nataka kujua t location ake inaez ikachangiwa na vitu gani labda kuiwezesha
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kwa kina kuhusu biashara ya juice

    Kaka uku sio insta kila comment kukandia
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kwa kina kuhusu biashara ya juice

    Habari Wiki ilioisha niliona mdau kaelezea kuhusu biashara ya juice sikumuelewa vizuri. Kama kuna MTU anaijua vizuri ajaribu kushare lolote na Mimi nataka kuijua changamoto yake, mahali unayoweza kuifanyia ani iwe na factors zip za muhimu pia faida ake
  13. M

    JamiiForums Tanzania Vitabu gani vinavyopendelewa watu vyenye mafunzo ya upambanaji?

    Nilikua nauliza vitabu gani vinavyopendelewa watu vyenye mafunzo mazuri katika maisha na hustling?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa bipolar unanisumbua, naombeni ushauri

    Ndugu zangu niliomba msaada juu ya ugonjwa Wa bipolar sikupata msaada sahihi naomba mwenye uelewa anisaidie kuhusu matibabu yake au namna ya kupata msaada kuutibu
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, unaweza kushare mtaji wa biashara na mpenzi wako?

    Mwanaume nina swali ndugu zangu ivi unaeza ukashare mtaji na mchumb wako kufungua biashara yoyote? Na kama ukiweza unaeza unatumia mikakati gani ili usichanganye mapenzi na biashara
Back
Top Bottom