Nilianza nae mahusiano akiwa sekondari mi nipo chuo, alipofika chuo mwaka wa kwanza kipindi hicho nipo alosto mtaani sina kazi huo ndio ulikuwa mwisho wa mapenzi yangu na yeye, aliona sifai tena
japo leo hii anatamani turudi kama zamani....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.