Recent content by Mdarahamani

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili nililolifanya kwenye mwenge nini kinaweza kunipata?

    Kama toka mwanzo uliwakatalia wakakukata kiubabe,na hakuna sehemu yoyote mliyoandikishana kiasi fedha walichokupatia.Waambie wakupe laki 3 yako ndio uwape risiti, kama hawana na unataka kuwasadia basi wapatie risiti ya walichokulipa tu. Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kufungua Microfinance

    I wish Mungu amuongoze jamaa akutumie wewe maana hatojuta
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mafundi simu na wauza Spare za Simu Tunauza tach na lcd kwa bei nafuu zaidi wx3 tunauza kwa 3600 tu.

    Naulizia Lcd display ya samsung note 5,siioni hapo kwenye list
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mafundi simu na wauza spare, vifaa vya simu: pata tach na lcd bei nafuu zaidi kwa Tanzania, vifaa vya simu

    LCD display ya samsung note 5 ntapata kwa bei gani?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Software itakayoweza kusaidia wajasiliamali wenye taasisisi za kukopesha

    Gharama yake ni ngapi mkuu?
  6. M

    JamiiForums Tanzania ATM za mabenki zimekuwa deal kwa kuweka 5,ooo

    Limit ya kutoa fedha kwenye ATM inawekwa kwa idadi ya noti.Hivyo kama unataka utoe laki 4 maana yake ATM itakupatia noti 40 za elfu 10 ambazo utakuta ndio kiwango cha mwisho cha juu,Sasa ikiwa zimewekwa noti za elfu 5 tano tupu inamaanisha idadi hiyo ya fedha itahitaji noti 80 za elfu 5...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze kilimo cha nyanya

    Asante mkuu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze kilimo cha nyanya

    Asante kwa majibu yako mkuu,yametusaidia wengi kwani na mimi nimekutwa na kantangaze tena wakati tayari nyanya(assila) ina matunda madogo.Nilikuwa naomba ufafanuzi kuhusu hizo tuta traps
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze kilimo cha nyanya

    Asante chief
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze kilimo cha nyanya

    Nimekusoma,nashukuru sana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze kilimo cha nyanya

    Asante sana mkuu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze kilimo cha nyanya

    Shukrani
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze kilimo cha nyanya

    Ugonjwa wa kutu mkuu,huu ulitokana na athari ya majani ya chini kulala kwenye matope kutokana na mafuriko
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze kilimo cha nyanya

    Wakuu naomba ushauri wa dawa ya kutu ambayo naweza kupiga kwenye nyanya ambayo ina maua
Back
Top Bottom