Recent content by Mdani

  1. Mdani

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Internet mtaani

    Kivipi ndugu?
  2. Mdani

    JamiiForums Tanzania Ukisikia watu wana wito wa Mungu muelewe. Askofu Dunstan Maboya wa Kanisa la Mwamposa alikuwa Polisi akaacha kazi na kuanzisha kanisa

    Sasa unaweza ushangae ukiambiwa hao wachungaji ni usalama wa taifa?
  3. Mdani

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa intaneti katika usasa na uboredhaji wa maisha ya jamii

    Provider asilimia kubwa ni TTCL au kama kuna kampuni youote inayoweza kuprovide bulk load pia mnaingia nayo mkataba
  4. Mdani

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa intaneti katika usasa na uboredhaji wa maisha ya jamii

    Na nina Na ninaposema intaneti ya kijamii namaanisha gharama ni shared, mnapanga bei ninyi kama wanajamii
  5. Mdani

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa intaneti katika usasa na uboredhaji wa maisha ya jamii

    Karibuni kwa maoni wanaJF
  6. Mdani

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa intaneti katika usasa na uboredhaji wa maisha ya jamii

    Habarini wana JF! Bila kupoteza muda nitoe wasifu wangu kwa ufupi kwa intaneti. Binafsi nawiwa kuona jamii inajikita kuweka miundombinu ya intaneti kwa matumizi ya wengi. Kutokuwepo intaneti ya uhakika kumenikosesha fursa nyingi ambazo nilitamani sana nizifanye kwenye eneo langu zikiwemo kusoma...
  7. Mdani

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Yericko Nyerere kuhusu Mchungaji Msigwa huu hapa

    Muda bado
  8. Mdani

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Internet mtaani

    Naomba namba yako ndugu tuwasiliane
  9. Mdani

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Internet mtaani

    Ndugu naomba namba yako
  10. Mdani

    JamiiForums Tanzania Submeter Suluhisho la wamiliki na wapangaji Wa nyumba

    Ko kuna submitters na subway meters? Au unamaanisha je?
  11. Mdani

    JamiiForums Tanzania Submeter Suluhisho la wamiliki na wapangaji Wa nyumba

    Sasa hii movement inabidi ianzishwe na mwenye nyumba ambapo yeye atamiliki mita kuu ambayo unit zake hazipaswi kutumika. Hata zikitumika ina maana mwenye nyumba awajibike kununua
  12. Mdani

    JamiiForums Tanzania Maoni juu ya fiber internet

    Vipi ule mkongo wa taifa au ilikuwa kanjanja?? Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  13. Mdani

    JamiiForums Tanzania Maoni juu ya fiber internet

    Sasa hata kwenye majiji kama Arusha, Mwanza ISP ni wachache kama kigezo ni biashara. Wote wamejaa Upanga Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  14. Mdani

    JamiiForums Tanzania Tunauza slot machine (dubwi)

    Ndugu kama una import me nahitaji wifi vending machine Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  15. Mdani

    JamiiForums Tanzania Airtel 5G Unlimited Internet

    Duh nilitaka nijisajili na cha 70 sasa akili kumkichwa Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom