Recent content by mdaka mishale

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Hezbollah Auwawa kwenye shambulio la Anga la Jeshi la Israel

    Ni suala la muda tu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Hezbollah Auwawa kwenye shambulio la Anga la Jeshi la Israel

    Mkuu wa mahusiano ya vyombo vya habari wa Hezbollah, Mohammad Afif, amefariki dunia baada ya kushambuliwa na ndege za kijeshi za Israeli katika mji mkuu wa Beirut. Tukio hili limezua maswali kuhusu malengo ya mashambulio ya Israeli na athari zake kwa usalama wa Mashariki Ya Kati. Katika...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hii sio Haki, Wakati kondeboy akikunja mil 25, Rastaman yeye anakula mil 4

    Kibu Denga Wakati anatoka Mbeya City alikuwa mchezaji wa kawaida sana tena iyo hela ilikuwa ni nyingi sana sema viongozi wa Simba nao wamefeli kwa kushindwa kukaa nae mezani kuboresha mkataba wake
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa JKT upigwe marufuku kutumika Ligi Kuu ya NBC

    Nashangaa hata mimi, sijui wametumia kigezo gani kuruhusu mechi ichezwe kwenye mazingira haya
  5. M

    JamiiForums Tanzania Max Nzegeli ndio amebeba ushindi wa Yanga leo

    Msije kusema sijawaambia, weka milioni 10 mpe Yanga ashinde ujishindie milion 20 za bure kabisaa. Kumbuka Max Nzegeli ndio amebeba hirizi ya timu na ule uwezo utakaouonesha leo jueni ni ndumba hizo ndizo zinazofanya kazi.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ubuntu botho iendelee paka ligi itakapoisha

    Ubuntu botho
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mo Dewj asema atazungumza na Wana Simba Instagram ili Wafanye usajili wa kishindo

    Bosi aanze kufukuza Fred vunjabei, tapeli jobe na tapeli mwenzake babacar sar
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sasa imetosha, Jumamosi ifike tu ili hizi kelele zipungue

    Mtapigwa km ngoma. Chezea Zwane wewe
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Aubin Kramo hajui kuwa jina lake limeondolewa kwenye wachezaji wa Simba

    Mkuu huyo zezeta hataweza kukujibu ilo swali, hebu achana nae maana ni miongoni mwa walamba miguu ya kina Tray Again, mambo ya kipuuzi yanafanyika klabuni lakini linasifia tu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Yanga mliolipiwa mnakalia wapi?

    Mwamedi amekulipia wewe sh ngapi?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Yanga mliolipiwa mnakalia wapi?

    Wewe huwa ni mchepuko wa mwamedi? Mbona umeweka avatar yenye picha yake?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuishi na Mashabiki wa Simba inaitaji moyo sana

    Labda akuje kuthibitisha jinsi walivyo mbumbumbu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuishi na Mashabiki wa Simba inaitaji moyo sana

    Aisee basi wanaitaji msaada mkubwa sana, tuwaidie, popote ukutanapo na shabikia wa Simba mwambie simba ndio bingwa wa ligi ya nbc na ndio timu tishio duniani kwa sasa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kuishi na Mashabiki wa Simba inaitaji moyo sana

    Mashabiki wa Simba ni kama vichaa waliotoroka milembe
Back
Top Bottom