Hii sio Haki, Wakati kondeboy akikunja mil 25, Rastaman yeye anakula mil 4

Mtu anayesugua benchi anapata zaidi ya mara 6 ya mshahara wa mvuja jasho mkuu wa timu? Hii kitaalam tunaitaje wakuu?
 
Pamoja na juhudi zote anazozionesha uwanjani, Rastamani analamba 4m tu, ila yule mmakonde ambaye anasugua benchi analamba mil 25..

Rastaman ameona mchango wake hauthaminiwi hivyo kaamua kusinya upande wa pili.

Ubuntu botho
Kikubwa kama huo upande atapata zaidi asepe tu hakuna namna
 
Back
Top Bottom