Recent content by Mczigga

  1. Mczigga

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa member wa Sauti Sol, Willis Chimano, amtambulisha Boyfriend wake!

    Mashoga wengi wapo very talented,, angalia tu wasanii wengi ambao wana hizo tabia.
  2. Mczigga

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kuisikia hii mahala ila sijui ina ukweli kiasi gani

    Vp una mtoto wa kiume mkuu?, ili tuthibitshe hiyo hoja hapo
  3. Mczigga

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kuisikia hii mahala ila sijui ina ukweli kiasi gani

    Hii mpya sijawai sikia popote asee
  4. Mczigga

    JamiiForums Tanzania Ijue Ngerengere Air Base, ngome iliyofichwa milimani inayolinda anga la nchi yetu

    Mkuu wala usitembee kifua mbele, siku hizi kuna kupigwa na mtu aliyepo USA ww upo Dar, yan anapiga kama anacheza gemu tu.
  5. Mczigga

    JamiiForums Tanzania Kuna vita Mtu anapigana kimya kimya

    Dah aseee duniani kuna mengi sana
  6. Mczigga

    JamiiForums Tanzania Mlioajiriwa mnakabiliana vipi na changamoto ya kurudia jambo lilelile (Monotony)

    Huyo jamaa itakua anapasua kichwa badala ya goti nd maana anapata same results for years
  7. Mczigga

    JamiiForums Tanzania Baada ya Eda, naruhusiwa kumtongoza?

    Mbona mapema sana mkuu
  8. Mczigga

    JamiiForums Tanzania Usipende kutangaza au kuonesha mafanikio yako waache watu wagundue na kuona wenyewe

    Hicho ndio kizazi cha Facebook na tiktok na simu zao za mkopo
  9. Mczigga

    JamiiForums Tanzania Haya ni masharti ya waganga ili uwe tajiri wakutupwa , je utaweza?

    Yafaa nini kuwa na utajiri huo kama siwezi kuwapa wazazi hela wala kumbato
  10. Mczigga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi kweli Babu Tale ni wa kuongoza Kura za maoni?

    Uchawi+ rushwa+ uzezeta wa wana ccm= uongozi mbovu
  11. Mczigga

    JamiiForums Tanzania Nionyeshe Mradi Mmoja wa maana wa Samia nikuonyeshe Nane ya Magufuli ndani ya miaka minne ya utawala wao

    Weeee sema kweli,, na kuwa raisi kote huko michambo yote hiyo bado anachuchumaa??
  12. Mczigga

    JamiiForums Tanzania Ukisoma hizi data utaona unafiki wa wakristo, mikoa wanayoishi na kupatikana ndo inaongoza kwa uchawi na ushirikina

    Mchawi anaweza kumuua mchawi mwenzie? Mfano tanga kila baada ya nyumba 2 kuna mganga je kweli hapo kuna wa kumuua mwenzie wakati wote familia
  13. Mczigga

    JamiiForums Tanzania Nahisi kukata tamaa. Nifanye nini kujinasua?

    Ndio natoka kwa mganga anasema hatujalogwa mkuu ila sisi ni wazembe tu, anasema tukifanya kazi kwa bidii mbona tunatoboa
Back
Top Bottom