Recent content by McWabe

  1. McWabe

    Je, kuna umuhimu wa kumposti mpenzi kwenye mitandao ya kijamii?

    Hivi mkipostiana kwenye mitandao ndo ishara ya upendo? Ingawa utaratibu wa kila mahusiano au ndoa ni wa wale waliomo, lakini kwangu hii kanuni naiona kama ulimbukeni flani hivi. Labda kama mnaishi kwa umaarufu (fame), yaani kipato chenu kinategemea publicity ya wapenzi, huenda!
  2. McWabe

    Wakulima wa Kahawa mkoani Kagera hawana imani na Wasimamizi wa minada

    Kwani kwa sasa hivi nini kinaendelea? Maana lazima katika ununuzi wa kahawa au zao lolote kuwepo na mifumo kwa ajili usimamizi wa karibu kuhakikisha zoezi linaenda vyema bila purukushani. Hivyo kuwepo kwa KDF au KCU katika kusimamia minada sio sura toshelezi kwamba mambo ni kama zamani...
  3. McWabe

    Tuhuma za mauaji: Nimehojiwa na Polisi, nimetimiza wajibu wangu

    Pole sana Maxence...ni mapito tu na iko siku unafiki wa watu kama akina Msiba na genge lao utakufa in a natural death...!
Back
Top Bottom