Tuhuma za mauaji: Nimehojiwa na Polisi, nimetimiza wajibu wangu

Maxence Melo

Maxence Melo

JF Founder
Staff member
Joined
Feb 10, 2006
Messages
2,882
Points
2,000
Maxence Melo

Maxence Melo

JF Founder
Staff member
Joined Feb 10, 2006
2,882 2,000
Ndugu wana JF na watanzania kwa ujumla,

Nachukua fursa hii kuwashukuru wote mlioguswa kusikia nimeitwa na Jeshi la Polisi kwa mahojiano baada ya magazeti mawili leo kunihusisha na linalodaiwa kuwa ‘Genge la Watu wanaopanga mikakati ya kumuua Cyprian Musiba”.

Genge hili lilihusisha wanasiasa, taasisi za serikali, watu binafsi (nikiwemo mimi) na hadi viongozi wa Taasisi za Serikali.

Si mara ya kwanza magazeti haya kufanya hivi kwangu na kwa watu wengi (ingawa kwangu imekuwa ikirudiwa kwa angle tofauti tofauti).

Naam, niliitwa saa 3 asubuhi (ingawa habari yenyewe ilitoka siku hiyo hiyo) na nikaambiwa nijitahidi niwe nimefika kabla ya saa 5; nikajitahidi kuitikia wito na kufika mnamo saa 4 na dk 30 asubuhi pale Makao Makuu ya Jeshi la Polisi.

Nikiri, jopo la wachunguzi wa Jeshi la Polisi walioshiriki kwenye mahojiano nami walionyesha weledi katika kazi yao na hivyo kupelekea mimi na mwanasheria wangu kutoa maelezo yaliyohitajika katika sakata hili.

Nilihoji maswali ya msingi juu ya tuhuma ambazo zimekuwa zikitolewa na bwana huyu na nikahoji kinachopelekea mara zote vyombo vya dola kumwacha aendelee kuumiza watu. Aidha, nikiri pia kuwa maswali yote niliyouliza yalijibiwa kwa staha na undani wa mahojiano yetu nachelea kuuweka bayana kwani naweza kuvuruga uchunguzi.

Niseme: Nawashukuruni nyote mlioguswa na kunitafuta kwa njia mbalimbali kunitia moyo au kutaka kujua mnaweza kusaidiaje. Wengine mlijitoa kuwa tayari kwa dhamana kama ingehitajika, kitendo kilichonifariji kuwa watu wanaelewa tunasimamia nini na kwanini tunaendelea kukisimamia.

Kwa watanzania: Watu kama ndugu huyu wapo, tuzikatae kazi zao na wanaowatuma kwa nguvu zote; tusikubali kuletewa migawanyo inayokwepeka. Tuwakemee pale tunapoweza lakini tukibaini kuwa wana nguvu ya ziada, tumwombe Mungu akatende muujiza wake!

Once again, asanteni sana na Mungu asimame nasi katika kuijenga nchi yetu, Tanzania.

Maxence

B

Boondocks

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2013
Messages
743
Points
1,000
B

Boondocks

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2013
743 1,000
Dunia ilishaamka wakati bwana wenu Trump ana-block watu na kushindwa mahakamani.
Dunia ilishaamuka wakati waingereza wanamtia ndani Julian Assange wa Wikileaks kwa kukosoa na kudukua taarifa ovu za mabwana zenu.

Acha ushamba wewe na ulimbukeni wewe Wakina Edward Snownden wamekimbia nchi zao wewe unapiga kelele hapa.

Unapiga Kelele wakati wenzako wanapiga dili la siraha na Saudia Arabia na ripoti ya Khashogi wameweka kabatini.

Kwa taarifa yako wewe ni mbumbumbu unayefuata upepo ukiambiwa nyuma geuka wala hushirikishi ubongo upoupo tu kama speciemen. Dunia haipo hivyo. Mnatumika bila kujijua.
Alisikika mpuuzi mmoja.
 
M

Matangwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2013
Messages
357
Points
500
M

Matangwa

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2013
357 500
We ndio unatumika maana unalipwa kwa huu usengerema unaoongea hapa. Kazana kujipendekeza kwa wanaume wenzio ili njia yako ya kuendea chooni isiote majani. Tunajielewa na tuna uwezo wa kupima mambo, kama ww ukiambiwa nyuma geuka unageuka basi usiache, ikibidi shusha na suruali kabisa uchume matembele.
Haaaaaaa umenifurahisha namna unavyoutumia uhuru wako usikuwa na mipaka vizuri, lakin sijui kwa nini hutaki MSIBA atumie uhuru wake vizuri kama ulivyoutumia hapa tindo. Sijui unakwama wapi kwa Msiba kuheshimu Mawazo yake?
 
M

Miss Madeko

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Messages
3,117
Points
2,000
M

Miss Madeko

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2014
3,117 2,000
Kwa watanzania: Watu kama ndugu huyu wapo, tuzikatae kazi zao na wanaowatuma kwa nguvu zote; tusikubali kuletewa migawanyo inayokwepeka. Tuwakemee pale tunapoweza lakini tukibaini kuwa wana nguvu ya ziada, tumwombe Mungu akatende muujiza wake!

Kwa hiyo sentensi kwa mimi nimekuelewa mna sana tuu.... ila habo kwenye kumwomba Mungu ndio nasema hivi Nia tunayo nguvu tunayo.......... Week end njema

Eeeee Mungu uchaguzi wa mwaka 2020 fanya miugiza yako Africa tumechoka kabisa, akili zetu zii gizani oko baba oko sio nia yako kulanzisha bara la Africa na fikra hizi za viongozi ..
 
balibabambonahi

balibabambonahi

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Messages
7,459
Points
2,000
balibabambonahi

balibabambonahi

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2015
7,459 2,000
Ndugu wana JF na watanzania kwa ujumla,

Nachukua fursa hii kuwashukuru wote mlioguswa kusikia nimeitwa na Jeshi la Polisi kwa mahojiano baada ya magazeti mawili leo kunihusisha na linalodaiwa kuwa ‘Genge la Watu wanaopanga mikakati ya kumuua Cyprian Musiba”.

Genge hili lilihusisha wanasiasa, taasisi za serikali, watu binafsi (nikiwemo mimi) na hadi viongozi wa Taasisi za Serikali.

Si mara ya kwanza magazeti haya kufanya hivi kwangu na kwa watu wengi (ingawa kwangu imekuwa ikirudiwa kwa angle tofauti tofauti).

Naam, niliitwa saa 3 asubuhi (ingawa habari yenyewe ilitoka siku hiyo hiyo) na nikaambiwa nijitahidi niwe nimefika kabla ya saa 5; nikajitahidi kuitikia wito na kufika mnamo saa 4 na dk 30 asubuhi pale Makao Makuu ya Jeshi la Polisi.

Nikiri, jopo la wachunguzi wa Jeshi la Polisi walioshiriki kwenye mahojiano nami walionyesha weledi katika kazi yao na hivyo kupelekea mimi na mwanasheria wangu kutoa maelezo yaliyohitajika katika sakata hili.

Nilihoji maswali ya msingi juu ya tuhuma ambazo zimekuwa zikitolewa na bwana huyu na nikahoji kinachopelekea mara zote vyombo vya dola kumwacha aendelee kuumiza watu. Aidha, nikiri pia kuwa maswali yote niliyouliza yalijibiwa kwa staha na undani wa mahojiano yetu nachelea kuuweka bayana kwani naweza kuvuruga uchunguzi.

Niseme: Nawashukuruni nyote mlioguswa na kunitafuta kwa njia mbalimbali kunitia moyo au kutaka kujua mnaweza kusaidiaje. Wengine mlijitoa kuwa tayari kwa dhamana kama ingehitajika, kitendo kilichonifariji kuwa watu wanaelewa tunasimamia nini na kwanini tunaendelea kukisimamia.

Kwa watanzania: Watu kama ndugu huyu wapo, tuzikatae kazi zao na wanaowatuma kwa nguvu zote; tusikubali kuletewa migawanyo inayokwepeka. Tuwakemee pale tunapoweza lakini tukibaini kuwa wana nguvu ya ziada, tumwombe Mungu akatende muujiza wake!

Once again, asanteni sana na Mungu asimame nasi katika kuijenga nchi yetu, Tanzania.

Maxence
pole sana Melo
 
McWabe

McWabe

New Member
Joined
Apr 8, 2013
Messages
1
Points
20
McWabe

McWabe

New Member
Joined Apr 8, 2013
1 20

Pole sana Maxence...ni mapito tu na iko siku unafiki wa watu kama akina Msiba na genge lao utakufa in a natural death...!
 
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Messages
15,965
Points
2,000
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2010
15,965 2,000
Musiba anatafua umaarufu wa bure, nani akuuwe wewe !!
 
mgt software

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
11,536
Points
2,000
mgt software

mgt software

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
11,536 2,000
Yajayo yanafurahisha Ukombozi wa Tanganyika unakaribia kwa kasi
 
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
34,906
Points
2,000
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
34,906 2,000
Mimi naamini Musiba ana nguvu kubwa iliyo nyuma yake ila wajue tu hakuna nguvu kubwa ya kumzidi Mungu(Muumba).
 
mahalipema

mahalipema

Senior Member
Joined
Mar 12, 2012
Messages
141
Points
225
mahalipema

mahalipema

Senior Member
Joined Mar 12, 2012
141 225
Musiba kwanini anaruhusiwa kufanya haya?
Je kwa namna hii tunajenga Taifa gani?
Sidhani Kama Magufuli atastaafu nao wanaojipendekeza kwake,
Sina Hakika saana kama Polisi walipaswa kukuhoji wewe, maana nao ni watuhumiwa kama wewe kwa mjibu wa taarifa za Musiba,

Ningekuwa mimi ndo Mello Maelezo yangu yangekaa hivi,,
Ninaotuhumiwa kushirikiana nao kufanya njama kumuua Musiba wamenihoji,
Yaan nimemaliza maojiano na watuhumiwa wenzagu kwenye njama za kumuua Musiba"
Britannica
Hivi walikuwa wanamuhoji au walikuwa wanajadiliana? Inawezekanaje mtuhumiwa akamuhoji mtuhumiwa mwenzake wa tuhuma hiyo hiyo inayowakabili wote. Mimi nadhani walikuwa na kikao cha kujadili tuhuma yao. Kwasababu walio muhoji nao walipaswa wahojiwe. Labda iundwe tume huru kuwa hoji watuhumiwa ila sio polisi kwasababu nao ni watumiwa.
 
tindo

tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
20,575
Points
2,000
tindo

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
20,575 2,000
Haaaaaaa umenifurahisha namna unavyoutumia uhuru wako usikuwa na mipaka vizuri, lakin sijui kwa nini hutaki MSIBA atumie uhuru wake vizuri kama ulivyoutumia hapa tindo. Sijui unakwama wapi kwa Msiba kuheshimu Mawazo yake?
Nani kamzuia kutumia uhuru wake atakavyo? tunahoji polisi inakuwake wawe na double standard kwa wengine? Ww ulianza kuleta lugha za shombo ndio maana, nikaichomoa hiyo suruali yako iliyoingia kwenye makalio, nimeona umepiga kelele hivyo nimeamua kuirudishia ilipokuwa nashangaa unaleta mahubiri. Ukichangia kiungwana hata kama tunatofautiana utapata majibu stahiki, ukija na shombo tunakuchomekea harddisk mbovu.
 
Panya Mabaka

Panya Mabaka

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Messages
460
Points
500
Panya Mabaka

Panya Mabaka

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2014
460 500
pole sana kaka mkubwa. Binafsi nahofia sana uwezo mdogo wa kufikiri walio nao viongozi wetu kama huyu! Mtu kama Musiba hakuwa mtu wa kuropokaropoka ovyo. Yeye ni kiongozi na kioo cha jamii. Kwa umri alio nao ni mtoto pekee anayeweza kulinganishwa na akili yake. Amekua kimwili, hajakua kiakili. Ukiona mtu anapigapiga kelele ujue ni dalili ya uoga na hata walevi wapo hivyo. Musiba anatakiwa kujiuliza maswali haya 1.kwanini ni yeye tu? 2.Kwanini anapenda kugombana na watu mara kwa mara? 3.Anamiliki nini cha muhimu sana ambacho watu wanakitafuta wamnyang'anye? Kama kiongozi ni lazima utofautiane na watu. Wapo watakaokupenda wapo watakaokuchukia na wapo ambao watakuona wa kawaida. Muhimu asitake kila mtu amuabudu haiwezekani. Kama anawaza kwa uoga hivi je familia yake anaiendeshaje. Kwa ufupi aache drama za kutaka umaarufu. Afanye kazi ambayo aliyempa amemuamini.
 
Baba Swalehe

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
11,185
Points
2,000
Baba Swalehe

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
11,185 2,000
Kwa kweli inachosha 'Mimi niltegemea kuona kwa kuwa bado imebaki mwaka mmoja tu kipindi cha kampeni ya uchaguzi mkuu kufanyika ' Basi matendo yao na maneno yangekuwa ya busara - lakini wapi

Hii hali wanayo ijenga sasa ni rahisi Kuja kuibua hasira za wapiga kura mwakani na hatimae nchi inaweza kuwa haikaliki kama jinsi ambavyo halishikiki bakuli la chuma lenye uji wa moto
Mi na we tushirikiane kumwangamiza msiba

Unaonaje

Nimesema msiba sio musiba , shaur yako
 
C

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2019
Messages
2,900
Points
2,000
C

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2019
2,900 2,000
Haya majitu yanapoteza muda kwa mambo ya hovyo kabisa ,badala kuhangaika kuietea nchi maendeleo yenyewe ni kufuatilia mambo ya kijinga jinga tu .
 
kiss daniel

kiss daniel

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2019
Messages
229
Points
1,000
kiss daniel

kiss daniel

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2019
229 1,000
Kaka max ee achana na huyo mhuni msiba atakurabia siku yako tu bure

Sikia nikwambie naomba unisaidie namba ya moderator farida si unajua sisi wanaume hatudhurian kitu brother sisi wanaume wote ni ndugu tena ndugu ila tu kutoka kwa mama mwingine

Msiba ni wa kupuuza tu kaka achana naye
 
Truth Teller

Truth Teller

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Messages
895
Points
1,000
Truth Teller

Truth Teller

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2016
895 1,000
Max anatembea na mengi,kifuani!
Wame muandamaa sanaa!
Na ukiangalia,General Election imekaribia!!

Naposema,Aende na beats ana elewa!!
Anajua mengi hadi zengwe na kikao,kilichofanyika kwa ajili yake.

Lengo ni,kuipotezea Jf au akubaliane na masharti ambayo walimpa.
Na kuna donge nono,alitengewa!!

Akisema,Aende na beats. Malalamiko kuhusu moods yatakuwa mengi humu jukwaani!!

Ki,ufupi huyu jamaa,anapita kipindi kigumu sanaaaaaaaaaa
Mkuu. kwenda na beat halafu asituudhi sidhani kama ita wezekana.

Yupo msukuma mmoja humu jf maarufu sana alitaka kufanya yote mawili kwa wakati mmoja, ila yamemshinda na amesha amua kwenda na beat tuu.
 
Forum statistics

Threads 1,316,458
Members 505,652
Posts 31,891,081
Top