Recent content by mcubic

  1. mcubic

    PreGE2025 Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi

    Baada ya miaka mingi kupita, leo Wacha na Mimi nichangie kidogo kuhusu yanayoendelea Chadema. Ukitaka mabadiliko lazima uoneshe Nia ya kubadilika na si kuendelea kufanya mambo Yale yale. Wananchi wengi wamekatishwa tamaa na namna upinzani unavyokabiliana na serikali dhalimu ya CCM. Kuna...
  2. mcubic

    Kwanini ni Mbowe na sio Lissu na kwanini CHADEMA haifi?

    Baada ya miaka mingi kupita, leo Wacha na Mimi nichangie kidogo kuhusu yanayoendelea Chadema. Ukitaka mabadiliko lazima uoneshe Nia ya kubadilika na si kuendelea kufanya mambo Yale yale. Wananchi wengi wamekatishwa tamaa na namna upinzani unavyokabiliana na serikali dhalimu ya CCM. Kuna...
  3. mcubic

    PreGE2025 Wafuasi CHADEMA wavamia nyumbani kwa Mbowe kumlazimisha achukue Fomu ya kugombea Uenyekiti

    Baada ya miaka mingi kupita, leo Wacha na Mimi nichangie kidogo kuhusu yanayoendelea Chadema. Ukitaka mabadiliko lazima uoneshe Nia ya kubadilika na si kuendelea kufanya mambo Yale yale. Wananchi wengi wamekatishwa tamaa na namna upinzani unavyokabiliana na serikali dhalimu ya CCM. Kuna...
  4. mcubic

    KERO Jiji la Dodoma lina changamoto ya upatikanaji wa maji ya uhakika

    Hakika shida ya maji Dodoma inazidi kukua, maeneo ya Nkuhungu na Ndachi siku ya Jana na leo kuna vijiwe vingi vya watu wameweka foleni kusubiri maji ya kununua.
  5. mcubic

    Simba SC wako kimya kana kwamba hawakucheza jana na Al Ahly

    Tunasema yanga amenyimwa goli
  6. mcubic

    Simba SC wako kimya kana kwamba hawakucheza jana na Al Ahly

    Mikia inajificha kwenye kichaka cha Yanga
  7. mcubic

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Sifurahishwi na Martial....badala akabe yeye anaoneshea vidole tu
  8. mcubic

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mwalimu amefanya gambling Kwa Pogba na Matic...hawana Kasi na ukabaji wao ni dhaifu
  9. mcubic

    Simba yasema kauli ya Manara haijatolewa kwa maelekezo ya Klabu

    Mikia bhana....naona joto limezidi wamesahau nguo...mambo hadharani
  10. mcubic

    CHADEMA leo wana nafasi ya kuweka historia ya kusimamia maadili ya chama kwa kuwafukuza Wanachama wake 19 kwa mpigo

    Kina Halima wana mtihani mkubwa sana kuishi na jina la usaliti......na usaliti wao upo wazi kabisa, yaani unaenda kuhalalisha haramu wazi wazi.
  11. mcubic

    Halima Mdee na wenzake 18 wagoma kufika Kamati Kuu ya chama kwa madai ya kupokea vitisho toka kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

    CDM wasipepese macho hapa, ni kuwafukuza tu hawa wahalalishaji haramu. Ukiona nzi wa kijani wanaruka ruka Kwa furaha ujue kuna matunda yameoza au mzoga. Ondoa mzoga mazingira yatulie watu wapate oksjeni maisha yaendelee
  12. mcubic

    Mtangazaji Maulid Kitenge mwenye Mahaba yasiyojificha na yaliyopitiliza kwa Yanga SC badilika kwani tumekuvumilia vya Kutosha

    "Sina shida kabisa na aina ya Utangazaji wako kwani hata Mimi japo ni mwana Simba SC naupenda na labda nikuambie tu Wewe umekuwa ni Mtangazaji Mahiri mno wa Michezo katika Watangazaji wa Kizazi hiki cha Kati na umeweza Kuwashawishi Watu wengi (Watangazaji) wengi wa Michezo Kukuiga kwa Mikogo...
  13. mcubic

    Live from Tunis: Tunisia vs Tanzania

    Kama matokeo ya wizi ya uchaguzi ulioisha hapa bongo
  14. mcubic

    Live from Tunis: Tunisia vs Tanzania

    Tumeenda kuzuia tu nafikiri....Tunis players are all over the pitch.
Back
Top Bottom